
Dear Vivi....
Ni miaka saba sasa tangu uondoke na tunakukumbuka sana michano
yako na mambo mengine mengi....(jalini ubinadamu msifanye mavitu kama
sanamu.....). Natumai umeonana na Faza Nelly,DOG Nacko.Papaa,Mlost na Pacha
Izzy na wengine wengi waliokuja huko.
Dhumuni la barua hii
ni kukusalimu na kukujulisha yanayoendelea Arusha.
Mengi yametokea ila ya
Muhimu kukufahamisha kuhusu harakati za Muziki hapa Arusha.
Imagine eti siku hizi
Metropole,Ricks,Mawingu...