This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday 31 March 2016

DARAJA LAPOROMOKA NA KUWAUA 10 INDIA…

Takriban watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa, baada ya daraja moja la juu lililokuwa likijengwa kuporomoka, kwenye mji wa mashariki mwa India wa Kolkata

SERIKALI KUNUNUA NDEGE MBILI, MELI….

Serikali imepanga kununua ndege mbili mpya na meli moja kwa ajili ya Ziwa Victoria katika siku chache zijazo, imefahamika.

Wednesday 30 March 2016

WHO: EBOLA SIO TISHIO TENA KWA DUNIA…

Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa, maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ebola Afrika Magharibi sio tena kitisho cha dunia.

AJALI YA NDEGE YAWAUA WATU 7 CANADA…

Watu saba wamefariki baada ya ndege moja ya kibinafsi kuanguka, katika kisiwa cha mashariki ya pwani ya Quebek.

Tuesday 29 March 2016

UCHAGUZI WA ZANZIBAR WAIKOSESHA HELA TANZANIA…

Shirika la ufadhili la serikali ya Marekani, limesitisha msaada wake kwa serikali ya Tanzania

NDEGE YA MISRI ILIYOTEKWA YATUA CYPRUS….

Ndege iliotekwa nyara imetua katika uwanja wa ndege wa Larnaca nchini Cyprus.

DAKTARI APIGWA NA NDUGU WA MGONJWA……

Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Rufani Mkoa wa Mtwara Ligula, wamegoma kutoa huduma baada ya mwenzao kudaiwa kupigwa na ndugu wa mgonjwa hadi kuvuliwa nguo.

Monday 28 March 2016

SHERIA YARUHUSU WANAOWAKASHIFU WAUME ZAO KUPEWA TALAKA..

Mahakama katika mji mkuu wa India imeamua kwamba ni kosa, kwa mke kumuita mumewe Tembo na kosa hilo linaweza kuwa sababu ya kupewa talaka.

Wednesday 23 March 2016

WANASAYANSI: POVU LA CHURA TIBA YA VIDONDA…

Povu linalotengenezwa na vyura wadogo kwa ajili ya kulinda mayai yao, linaweza kuponya majeraha ya wagonjwa walioungua wamesema wanasayansi.

MJAMZITO AJIFUNGULIA MTOTO CHOONI…....

Msichana wa umri wa miaka 17 ambaye alikuwa katika machungu ya uzazi, amejikuta akijifungulia

MKUU WA JESHI AUAWA KAMBINI..

Afisa mmoja muandamizi wa jeshi la Burundi, ameuwawa ndani ya makao makuu ya jeshi la Burundi.

DUBAI: SHISHA NI MARUFUKU KWA WAJA WAZITO…

Dubai imepiga marufuku wanawake waja wazito, kuvuta ama hata kuingia katika migahawa inayouza Shisha.

Tuesday 22 March 2016

MILIPUKO YATOKEA UWANJA WA NDEGE BRUSSELS…

Moshi umeonekana ukitoka kwenye moja ya majumba katika uwanja huo
Milipuko miwili imetokea katika uwanja wa ndege wa Zaventem mjini Brussels.Moshi umeonekana ukitanda angani kutoka kwa moja ya majengo katika uwanja huo.

HUYU NI PAKA MWIZI WA NGUO ZA NDANI ZA WANAUME…!!

Paka mmoja mwizi wakati wa usiku, amekuwa akiiba soksi pamoja na nguo za ndani nchini New Zealand.

Monday 21 March 2016

DR SHEIN ATANGAZWA MSHINDI WA URAIS ZANZIBAR…

Uchaguzi wa marudio Zanzibar jana, ulifanyika katika hali ya utulivu tofauti na baadhi ya watu walivyokuwa wakifikiria.

Thursday 17 March 2016

HII HAPA NGOMA MPYA YA SUGU:FREEDOM

Msanii Nguli wa mziki wa HIP HOP hapa nchini ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA Joseph Mbilinyi,ameachia wimbo wake mpya unaitwa FREEDOM baada ya kukaa kimya kwa kipindi kirefu.

Wimbo huo umefanyika katika studio za MJ chini ya mtayarishaji mahiri Marco Chali,unaweza kuusikiliza kwa kubonyeza play hapo chini.

HOSPITALI ZATUMIA MAJI YENYE VINYESI…

Utafiti uliofanywa umebaini kuwa asilimia 46.5 ya hospitali hapa nchini, zinatumia maji yenye vimelea vya kinyesi (Ecoli).

TIBA YA KISUKARI KUTOLEWA BURE…

Serikali itaanza kutoa bure matibabu ya ugonjwa wa kisukari ili wananchi wengi waweze kufikiwa na huduma hiyo.

TRUMP ASEMA HUENDA FUJO ZIKAZUKA MAREKANI…

Mfanyabiashara tajiri Marekani Donald Trump, amesema anafikiri kutatokea fujo iwapo ataongoza kwa wajumbe kisha chama chake cha Republican kitakosa kumuidhinisha awanie urais.

RIPOTI: WATANZANIA WAONGOZA KWA KUKOSA FURAHA DUNIANI…

Huku ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha Siku ya Furaha Duniani ya Umoja wa Mataifa tarehe 20 Machi.

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI ALIPOWAHAPISHA WAKUU WA MIKOA..

Rais wa jamuhui uri ya Muungano wa Tanzania Dakta John Pombe Mgufuli, amewapisha wakuu wa mikoa aliowateuwa hivi karibuni.
Tukio hilo limefanyika katika ofisi za ikulu jijini Dar es Salaam, likiwajumusha wakuu wote wa mikoa 26 walioteuliwa.
Bonyeza Play hapo chini kuisikia hotuba nzima ya Rais Magufuli kwa wakuu hao wa mikoa.

Wednesday 16 March 2016

MOTHER TERESA KUFANYWA MTAKATIFU SEPTEMBA

Mother Teresa alikuwa mtawa wa kanisa Katoliki
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametangaza kwamba Mother Teresa atafanywa mtakatifu Septemba mwaka huu.

Tuesday 15 March 2016

WATU WANAOSADIKIWA NI MAJAMBAZI WAUWAWA ARUSHA.

Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waumeuwawa na jeshi la polisi, katika eneo la kata ya Seela-Sing’isi iliyopo wilayani Arumeru jijini Arusha.

MHADHIRI ALIYEIGIZA FILAMU CHAFU UINGEREZA AJIUZULU…

Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la kemia katika chuo kimoja kikuu nchini

Monday 14 March 2016

HAWA NDIO WAKUU WAPYA 13 WALIOTEULIWA NA RAIS.!!

Rais wa Tanzania amewateua wakuu 13 wapya wa mikoa miongoni mwa orodha mpya ya wakuu 26 wa mikoa iliyotangazwa leo na ikulu ya rais.

Saturday 12 March 2016

MTANZANIA ATEULIWA KUWANIA TUZO LA WANASAYANSI.

Msomi mmoja kutoka Tanzania Aneth David Mwakilili ni miongoni mwa wasomi wengine

Friday 11 March 2016

MBUNGE ATIMULIWA BAADA YA KUTINGA NA MKOBA WA KIKE BUNGENI..!!

Spika wa muda wa Bunge la Kenya Tom Kajwang’, amemfukuza mbunge Peter Opondo Kaluma

MTANZANIA ATAJWA KINARA WA USAFIRISHAJI DAWA ZA KULEVYA..!!

Serikali ya Marekani imeamua kutaifisha mali za mfanyabiashara wa dawa zilizopigwa marufuku za kulevya kutoka Tanzania Ali Khatib Haji Hassan maarufu kwa jina la Shikuba.

MAMBO HATARI YALIYOFICHIKA KWENYE MAFUTA YA KUPIKIA..

Mafuta ya kupikia yanatokana na muunganiko wa kemikali zinazozalishwa na malighafi za asili kama vile seli za mbegu, matunda ya mimea au wanyama.

Thursday 10 March 2016

MWANAMKE AMSAFIRISHA MTOTO NDANI YA BEGI..!!

Shirika la ndege la Air Ufaransa limesema kuwa, mwanamke mmoja alisafiri kwa ndege kutoka Istanbul nchini Uturuki hadi

APATIKANA NA HATIA YA KUMUIBA MTOTO…!!

Mahakama kuu mjini Cape Town nchini Afrika Kusini, imempata na hatia mwanamke mmoja kwa kumteka nyara mtoto mchanga kutoka hospitali moja karibu miaka 20 iliyopita.

JUA LANASWA NA MWEZI INDONESIA…

Raia Indonesia wameshuhudia jua likizibwa kikamilifu na mwezi.ikiwa ndio nchi pekee iliyoshuhudia tukio hilo kote duniani.

ATUNGWA MIMBA YA PACHA NA WANAUME WAWILI…...!

Mapacha wa kipekee wamezaliwa nchini Vietnam, baada ya kugundulika kuwa walitungwa na baba wawili tofauti.

Wednesday 9 March 2016

ALIYEWANG'OA MENO WATU 100 ASHTAKIWA UFARANSA..!!

Daktari moja wa meno mholanzi, ameshtakiwa nchini Ufaransa kwa kuwakata midomo zaidi ya wateja wake 100 maksudi.

Tuesday 8 March 2016

SAMAKI HATARINI KUTOWEKA AFRIKA..!

Mazao ya samaki yapo hatarini kutoweka barani Afrika, ikiwamo Tanzania iwapo mfumo wa usimamizi katika sekta ya uvuvi hautaboreshwa.

Monday 7 March 2016

HOTUBA YA RAIS DR MAGUFULI ARUSHA.

Tarehe 3 mwezi wa tatu Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli, alizindua jiwe la msingi la ujenzi wa barabara inayoanzia Arusha mpaka eneo la voi nchini Kenya.
Kama ulipitwa na yale aliyoyazungumza katika hotuba yake ya dakika 32, hapa nimekupachikia yote.

Waweza isikiliza kwa kubonyeza play hapo chini.

MGUNDUZI WA BARUA PEPE AFARIKI DUNIA..!!

Ray Tomlinson raia wa Marekani ambaye ndiye aliyevumbua utumaji wa barua pepe, kwa Kiingereza e-mail amefariki dunia.

Wednesday 2 March 2016

BEI YA DIZELI, PETROLI, MAFUTA YA TAA YASHUKA

March 1 2016 Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA), ilitangaza bei mpya ya bidhaa za mafuta ya Petrol, Diesel na ya mafuta ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja.

Mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa, yamepungua bei na bei mpya zimeanza kutumika leo nchi nzima isipokuwa mkoa wa Tanga.
Akiongea na waandishi wa habari Dar es salaam Mkurugenzi wa huduma za nishati na maji EWURA Felix Ngamlagosi amesema haya yafuatayo,bonyeza Play hapo chini.

AJIKATA UTUMBO KWA KUNYIMWA CHAKULA..!!

Kijana mwenye umri wa miaka 30 amefanya tukio la kushangaza, kwa kujipasua tumbo kwa wembe na kuukatakata vipande utumbo wake.

HIZI NI NCHI ZINAZOONGOZA KWA RUSHWA NA UFISADI DUNIANI….!!

Nchi tatu za Afrika zimetajwa kwenye orodha ya nchi tano zilizokithiri kwa vitendo vya rushwa

OSAMA ALIACHA DOLA MILIONI 29 KUFADHILI JIHAD..!!

Kiongozi wa kidini wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda Osama Bin Laden aliacha urathi wa dola milioni 29 kufadhili Jihad alipouawa mwaka 2011.

Tuesday 1 March 2016

RUFANI YA BABU SEYA KUSIKILIZWA MACHI 11..!

Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) katika kikao chake kilichoanza jijini Arusha,

WANAOISHI KATIKA MAPIPA YA TAKA UK WAONGEZEKA…

Idadi ya watu wasio na makao na ambao sasa wanaishi katika mapipa ya taka, inaendelea kuongezeka nchini Uingereza, kulingana na kampuni kubwa ya kuzoa takataka nchini humo.