Tuesday 15 March 2016

WATU WANAOSADIKIWA NI MAJAMBAZI WAUWAWA ARUSHA.

Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waumeuwawa na jeshi la polisi, katika eneo la kata ya Seela-Sing’isi iliyopo wilayani Arumeru jijini Arusha.

Akizungumza na wanahabari mapema leo kamanda wa polisi mkoni Arusha naibu kamishna DCP Liberatus Sabasi, amesema watu hao wameweza kudhibiti kutokana na mtego waliowekewa baada ya wasamaria wema kutoa taarifa zao.

Kiwale11 Blog tumeinasa sauti ya kamanda Sabasi alipokuwa akitoa taarifa hiyo kwa wanahabari mapema leo.

Bonyeza play hapo chini kumsikiliza alichoeleza zaidi.

0 comments:

Post a Comment