Monday 14 March 2016

HAWA NDIO WAKUU WAPYA 13 WALIOTEULIWA NA RAIS.!!

Rais wa Tanzania amewateua wakuu 13 wapya wa mikoa miongoni mwa orodha mpya ya wakuu 26 wa mikoa iliyotangazwa leo na ikulu ya rais.

Rais John Pombe Magufuli amewahifadhi wakuu 13 waliohudumu katika serikali ya Jakaya Kikwete.
Uteuzi huo umetangazwa na katibu mkuu kiongozi Mussa Ibrahim Iyombe.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari iliyotiwa sahihi na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, katika ikulu Gerson Msigwa, Viongozi hao wote walioteuliwa wataapishwa katika hafla maalum itakayoandaliwa jumanne tarehe 15 Machi, 2016 saa tatu asubuhi jijini Dar es salaam.
Orodha ya wakuu wa mikoa walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
Afisa Mkuu wa Mkoa
Paul Makonda
Dar es Salaam
Ezekiel Elias Kyunga
Geita
Salum Mustafa Kijuu
Kagera
Raphael Muhuga
Katavi
Emmanuel Maganga
Kigoma
Godfrey Zambi
Lindi
Dkt. Steven Kebwe
Morogoro
Zerote Steven
Rukwa
Anna Malecela Kilango
Shinyanga
Methew Mtigumwe
Singida
Antony Mataka
Simiyu
Aggrey Mwanri
Tabora
Martine Shigela
Tanga
Jordan Mungire Rugimbana
Dodoma
Said Meck Sadick
Kilimanjaro
Magesa Mulongo
Mara
Amos Gabriel Makalla
Mbeya
John Vianey Mongella
Mwanza
Daudi Felix Ntibenda
Arusha
Amina Juma Masenza
Iringa
Joel Nkaya Bendera
Manyara
Halima Omary Dendegu
Mtwara
Dkt. Rehema Nchimbi
Njombe
Evarist Ndikilo
Pwani
Said Thabit Mwambungu
Ruvuma
Chiku Galawa
Songwe (Mkoa mpya)

0 comments:

Post a Comment