This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Friday, 30 June 2017

VIDEO:WIZARA MAMBO YA NDANI, IGP SIRRO WANAZUNGUMZA KUHUSU MAUAJI KIBITI


Thursday, 29 June 2017

CCM WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

June 29, 2017 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ‘CCM’ Humphrey Polepole anaongea na Waandishia wa Habari Ofisi ndogo ya CCM Lumumba DSM.

UTAFITI:BODABODA HUWANYANYASA WASICHANA KIMAPENZI….

Wafanyabiashara ya huduma za usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wametajwa katika utafiti kuwa wanaowanyanyasa kimapenzi na kuwafanyia ukatili wasichana wanaokataa kushirikiana nao kimapenzi.

WIZARA YATAKA BIASHARA YA TANZANITE IFANYIKE SIMANJIRO….

Wizara ya Nishati na Madini, imeagiza biashara ya madini ya Tanzanite, ifanyike katika Halmashauri ya Simanjiro na siyo Arusha na Moshi kama inavyofanyika hivi sasa.

MAITI TATU 3 ZAOKOTOWA KWENYE VIROBA...

Maiti tatu zimeokotwa kwenye fukwe mbalimbali za Zanzibar katika siku tatu zilizopita zikiwa zimeharibika vibaya, kuwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye makali zikiwa zimefungwa kwenye

MBUNGE KIBITI ASEMA ANAMUACHIA MUNGU........

Matukio ya kihalifu na mauaji yanayofanywa na watu wasiofahamika, yameendelea kutokea wilayani Kibiti baada ya viongozi wawili wa Kijiji cha Mangwi, Kata ya Mchukwi kuuawa kwa kupigwa kwa

DPP ASUBIRI FAILI LA LOWASSA……….

Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo Mganga, amesema anasubiri Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imalize uchunguzi wake dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri

HAJI MANARA ATOA POLE KWA RAIS TFF…..

Mara baada ya taarifa kutoka Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) kuwashikilia Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania  (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake

AMUUA MPENZIWE KWA ''MZAHA”….

Mwanamke mmoja mjini Minesesotta nchini Marekani amehukumiwa kwa kumpiga risasi na kumuua mpenzi wake katika kile kinachosemekana ni mgogoro wa mtandaoni.

HELIKOPTA ILIYOTUMIKA KUSHAMBULIA MAHAKAMA YAPATIKANA VENEZUELA…..

Vikosi vya usalama nchini Venezuela vimepata helikopta iliyotumiwa na afisa muasi wa polisi kupaa juu ya majumba ya serikali mjini Caracas huku ikikiangusha guruneti na kupiga risasi siku ya

KENYA IMEKUWA NCHI YA KWANZA AFRIKA KUTOA MATIBABU MAPYA YA HIV….

Kenya imekuwa nchi ya kwanza Afrika, kuanza kutoa matibabu bora zaidi kwa watu wanaoishi na virus vya HIV vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi.

Wednesday, 21 June 2017

MJI WA LUANDA NCHINI ANGOLA NDIO GHALI ZAIDI DUNIANI….

Mji mkuu wa Angola Luanda, umechukua nafasi ya kwanza kama mji ghali zaidi duniani, kwa wataalamu na kuusukuma mji wa Hong Kong hadi nafasi ya pili.

UTAFITI: WATOTO WANAOZALIWA NA WANAUME WAZEE HUWA WEREVU...

Wanaume wanaochelewa kuanza familia, wana uwezo wa kupata wavulana werevu kulingana na utafiti.

Tuesday, 20 June 2017

MWANAMUME ALAZIMIKA KUMLIPIA MAHARI MAREHEMU…

Mtu mmoja kusini mwa Msumbiji katika mkoa wa Inhambane, alilazimika kumlipia mahari mkewe aliyefariki wikendi iliopita kulingana na chombo cha habari cha taifa.

MBARONI AKIPENYEZA SIMU TANO GEREZA LA KEKO DAR…

Ramadhani Nombo anashikiliwa na Jeshi la Polisi kituo cha Chang’ombe Temeke jijini Dar es Salaam, kwa kosa la kupenyeza simu tano kwenye gereza la Keko.

SAYARI NYINGINE 10 ZIMEGUNDULIWA, BINADAMU WANAWEZA KUISHI………

Kila siku binadamu amekuwa akifikiria mbinu mpya ambayo itamsaidia katika maisha yake ya kila siku, na kutokana na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kugundua vitu vipya

WANASAYANSI KUJA NA TIBA MBADALA YA MAGONJWA YA MOYO….

Wanasayansi nchini Nethelands wameanza kufanya majaribio ya chanjo ya kupunguza kiwango cha mafuta mwilini mwa binadamu ambapo kama itafanikiwa kuna matumaini makubwa ya