June
29, 2017 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ‘CCM’ Humphrey
Polepole anaongea na Waandishia wa Habari Ofisi ndogo ya CCM Lumumba DSM.
Unaweza kutazama Video hapa alichozungumza
Polepole na Waandishi wa Habari
WAVUTAJI MBEYA WALALAMIKA BANGI KUADIMIKA MTAANI (AUDIO)
Wavutaji mkoani Mbeya
wamelalamika bangi kuadimika mtaani tangu vita dhidi ya matumizi ya dawa za
kulevya ishike kasi nchi nzima. Mmoja wa wavutaji mashuhuri wa mmea huo ambaye
amedai kuanza kuvuta akiwa na darasa la 6, …Read More
WEMA SEPETU AHAMIA CHADEMA, AUNGANA NA MBOWE MAHAKAMANI.
Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga
leo na chama hicho akiwemo Miss Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu, Wema
Sepetu
Mkuu wa Idara ya
Habari na Mawasili…Read More
MUGABE ASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 93…
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, kiongozi wa taifa
mwenye umri wa juu zaidi duniani kwa sasa, ametimiza miaka 93.
Kiongozi huyo
anatarajiwa kujumuika kwa sherehe ya faradha na jamaa, wafanyakazi wake wa
karibu na baadh…Read More
WANAWAKE WAPIGWA MARUFUKU KUSAFIRI PEKE YAO LIBYA…
Maafisa wa kijeshi wanaodhibiti eneo
la mashariki mwa Libya, wametangaza marufuku kwa wanawake walio chini ya umri
wa miaka 60 ya kuwazuia kusafiri nje ya nchi wakiwa peke yao.
Marufuku
hiyo inatajwa kutokana na sababu …Read More
0 comments:
Post a Comment