Wabunge
nchini Rwanda jana waliipitisha sheria ya kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya
rasmi ya taifa hilo.
Kiswahili kitaungana na
Kinyarwanda, Kiingereza na Kifaransa, kama lugha ya nne rasmi ya nchi hiyo.
Kwa sasa lugha hiyo
itatumika kwenye shughuli za uongozi na kitaonekana kwenye baadhi ya nyaraka za
kiofisi.
Lugha
hiyo pia itaingia kwenye mitaala ya elimu.
0 comments:
Post a Comment