Wednesday, 1 February 2017

BUNGE LAPITISHA MSWADA WA SHERIA YA MSAADA WA KISHERIA 2016…

Bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA limepitisha muswada wa sheria ya msaada wa kisheria.

Bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA limepitisha muswada wa sheria ya  msaada wa kisheria wa mwaka 2016.
Akiwasilisha muswada huo bungeni mjini DODODMA Waziri wa Katiba na Sheria HARRISON MWAKYEMBE amesema sheria hiyo inakwenda kumaliza kilio cha muda mrefu cha wananchi wasiokuwa na uwezo wa kumudu gharama za mawakili katika kuitafuta haki.

Kwa upande wa wabunge wamesema kupitishwa kwa muswada huo kutakuwa suluhisho kwa wale ambao wameonewa kwa kukosa msaada wa kisher

Reactions:

0 comments:

Post a Comment