Wavutaji mkoani Mbeya
wamelalamika bangi kuadimika mtaani tangu vita dhidi ya matumizi ya dawa za
kulevya ishike kasi nchi nzima. Mmoja wa wavutaji mashuhuri wa mmea huo ambaye
amedai kuanza kuvuta akiwa na darasa la 6, amedai kuwa ili kuipata inawalazimu
kwenda nje ya mji kwakuwa wauzaji wakubwa wamekimbia mjini. Msikilize zaidi
hapo chini.
NEW JOINT:KAA TAYARI-ROMA FT JOSE MTAMBO & DARASA
Ngoma mpya ya Roma Mkatoliki amewashirikisha Jos Mtambo na Darassa,Imetayarishwa na J-Ryder katika studio za Tongwe. Unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza kitufe cha Play hapo chini.
…Read More
PANYA SASA KUTUMIA UZAZI WA MPANGO…!
Chuo Kikuu
cha Kilimo cha Sokoine (SUA), kimepata suluhisho la kupunguza kuzaliana panya
nchini kwa
kuanzisha uzazi wa mpango kwa wanyama hao.
Akizungumza
na waandishi jijini Dar es Salaam Mtaalamu wa Kilimo w…Read More
UNENE WA KUPITA KIASI……!
Utafiti wa
mmoja kiafya duniani umeonyesha ongezeko la asilimia 82 la watu wanene kupita
kiasi kati ya mwaka wa 1990 na 2010, likasema jarida la tiba la Uingereza, ‘The Lancet’, Volume 387, la
Aprili 2, 2016
Vifo v…Read More
UTAFITI:UNENE UNAUA MAPEMA…!!
Utafiti wa kimataifa umegundua kuwa kunenepa kunahusiana moja kwa moja na
visa vya watu kufa
mapema, huku wanaume wakiwa katika uwezekano mara tatu wa
kufariki zaidi ya wanawake.
Kwa kutumia data
kutoka takriban …Read More
UNYONYAJI KIDOLE UNAFAIDA KWA WATOTO- UTAFITI
Ripoti mpya
inasema watoto wanaonyonya vidole au kung'ata kucha zao kwa meno huenda
wasipate
matatizo ya kuathirika kutokana na mazingira hewa au kula vyakula
fulani.
Kwa mujibu wa waandishi katika jarida la Pedi…Read More
0 comments:
Post a Comment