Thursday 9 February 2017

VIDEO: GWAJIMA AMJIBU MAKONDA ASEMAMA MUNGU ATAMSHUSHA.

Askofu Josephat Gwajima Alhamis hii amezijibu tuhuma za kujihusisha kwenye biashara ya madawa ya kulevya baada ya kutajwa kwenye orodha ya pili ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Alikuwa akizungumza mbele ya waumini na waandishi wa habari, kanisani kwake,tizama videi hapo chini kile alichokisema.

0 comments:

Post a Comment