This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday 29 February 2016

WALIMU KUTOLIPA NAULI DAR ES SALAAM..

Hatimaye walimu katika jijini Dar es Salaam nchini Tanzania wataanza kusafiri bure bila ya kutozwa nauli.

SAMATTA AIBEBA GENK…

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amefunga bao lake la kwanza

MJI WA INDIA WAPIGA MARUFUKU FILAMU…!

Mji wa kaskazini mwa India Aligarh, umepiga marufuku filamu mpya yenye jina la mji huo kuoneshwa huko, kwa sababu inahusu mapenzi ya jinsia moja.

Saturday 27 February 2016

IDADI YA WATU YAPUNGUA JAPAN.…

Takwimu rasmi ya idadi ya watu nchini Japan, imeashiria kuwa idadi ya watu nchini humo ilipungua kwa takriban watu milioni moja katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

RAIS MPYA WA FIFA NI GIANNI INFANTINO……

Raia wa Switzerland Gianni Infantino amechukua mahala pake Sepp Blatter kama rais wa shirikisho la soka duniani Fifa.

Friday 26 February 2016

BREAKING NEWZZZZZ..!!! MAWAZIRI KUTUMBULIWA MAJIPU..!!


Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli,ameagiza mawaziri wasiorejesha hati za tamko la mali na ahadi ya uadilifu, kufanya hivyo kabla ya saa 12 jioni leo february 26..

Unajua wasipofanya hivyo ni nini kitatokea,bonyeza play hapo chini umsikie waziri mkuu Kassimu Majaliwa alipokuwa akitoa agizo hilo la Rais.

UTAFITI: MWANYA KATI YA MATAJIRI NA MASIKINI UNAZIDI KUPANUKA MAREKANI…

Utafiti mpya unaonyesha kuwa mwanya kati ya matajiri na masikini unazidi kupanuka nchini
Marekani.

Thursday 25 February 2016

BEIJING YAIPITA NEW YORK KWA MABILIONEA…!!

Jiji la Beijing limelipita jiji la New York katika kuwa na idadi kubwa ya mabilionea, ripoti mpya ya shirika la Hurun kutoka Uchina inasema.

Wednesday 24 February 2016

MCHEZAJI ALIYEMPA REFA ''KADI NYEKUNDU'' APONGEZWA…!!

Mashabiki wa kilabu Trabzonspor wamefanya maandamano, wakimuunga mkono mchezaji mmoja ambaye alipewa kadi nyekundu kwa kumuonyesha kadi nyekundi refa.

MARS YATAKA CHOKOLETI ZIRUDI KIWANDANI…

Watengenezaji wa chokoleti za Mars nchini Marekani, wamesema inazitaka nchi hamsini na tano kurejesha mamilioni ya chokoleti zilizotokea kiwandani hapo.

NDEGE ILIYOWABEBA WATU 21 YATOWEKA NEPAL….

Ndege ndogo iliyowabeba abiria 21, imetoweka ikiwa maeneo yenye milima nchini Nepal.

Tuesday 23 February 2016

WAFANYAKAZI WATUMBUA JIBU KAMPUNI YA UJENZI ARUSHA…

Mkuu wa wilaya ya Arusha Fadhili Mkulu, ameitakakampuni ya ujenzi ya CATIC kutoka nachini

SOKWE AZALIWA KWA UPASUAJI..!!

Mwana wa Sokwe anaendelea vyema, baada ya kuzaliwa kupitia upasuaji katika hali isiyo ya kawaida.

Monday 22 February 2016

SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA YA GALAXY S7…

Kampuni ya kutengeneza simu ya Samsung imezindua simu yake mpya ya kisasa aina ya Galaxy S7

RIPOTI: KINONDONI KINARA WA UHALIFU….!!


Ripoti ya awali ya Utoaji wa Huduma za Kipolisi (PDB) inayosimamia usalama wa raia na

MAREKANI YAONGOZA KWA BIASHARA YA SILAHA…!

Usafirishaji wa silaha duniani umeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, huku Marekani ikiendelea

WANANDOA ELFU 3 WAUNGANISHWA KOREA KUSINI….!!!

Takriban wanandoa 3000 kutoka kote duniani wameshiriki katika harusi ya halaiki katika makao

Friday 19 February 2016

TAKWIMU ZA KUNYONGWA WATU SAUDIA ZINATISHA…!!



 
Mauaji ya watu waliohukumia kifo kiholela nchini Saudi Arabia, yameongezeka katika mwaka huu wa 2016.

SIMBA WATOROKA MBUGA NA KUINGIA MTAANI..!!

Simba wasiojulikana idadi yao, wametoroka mbuga ya taifa ya wanyamapori ya Nairobi.

Thursday 18 February 2016

INDIA YATENGEZA SIMU YA BEI RAHISI DUNIANI…

Kampuni moja ya India inatarajiwa kuzindua kile kinachojulikana kuwa simu aina ya smartphone ya bei rahisi.

Wednesday 17 February 2016

VIWANGO VYA KUTISHA VYA SUKARI KWENYE VINYWAJI…!!

Kuna viwango vya sukari ya juu vinavyoshangaza, katika vinywaji vya moto vinavyouzwa katika migahawa kundi moja limeonya.

AJABU YA MWANAMKE KUSHIKA MIMBA JELA VIETNAM..!!

Askari jela 4 nchini Vietnam wamesimamishwa kazi kwa kosa la kuzembea kazini, baada ya

MKENYA MIONGONI MWA WALIMU BORA DUNIANI..!!

Mwalimu mmoja kutoka Kenya ni miongoni mwa walimu wengine kumi waliofuzu fainali ya

WATAKA ASKARI WAUAJI WAFUNGWE MAISHA…!!

Mashirika ya kutetea haki za binaadamu nchini Kenya, yamelaani na kutangaza kutoridhishwa na

PASPOTI ZA KIELEKTRONIKI KUZINDULIWA AFRIKA MASHARIKI…

Raia wa Nchi za Afrika Mashariki wataanza kutumia paspoti za kielektroniki ambazo zitatumika kurahisisha usafiri kwa wananchi wa eneo hilo.

HIKI NDICHO ALICHOKIZUNGUMZA BABA YAKE JOHN WOKA........

John Woka ni miongoni mwa Wasanii wa longtime Tanzania ambapo umaarufu wa jina lake uliongezeka kutokana na ubunifu wake wa kurap kama Mlevi,alifariki dunia alfajiri ya february 16 katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam, baada ya kupata ajali ya kuchomwa na kitu kichwani alipokuwa akirekebisha mtungi wa AC ya gari katika garage moja jiji Dare es salaam.

Bonyeza play hapo chini kumsikia kile ambacho baba yake mzazi Joh Woka zee Mhina akizungumza juu ya kifo cha mtoto wake.

Tuesday 16 February 2016

RAS LION AMLILIA JOHN WOKA...

Msanii wa muziki wa kizazi kipya John Woka toka kundi la watukutu, amefariki dunia alfajiri ya february 16 katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.

VIRUSI VYA ZIKA VYAPATIKANA KATIKA UBONGO…!!

Ushahidi zaidi unaohusisha virusi vya Zika na kasoro ya maumbile miongoni mwa watoto

HOSPITALI YATUMIA MAJI YA CHUPA CHUMBA CHA UPASUAJI..!!

Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala inalazimika kununua maji ya chupa,

MBUNGE ZIMBABWE AVUNJA REKODI YA BUSU AFRIKA…!!

Mbunge mmoja nchini Zimbabwe Joseph Chinotimba, ameingia katika kumbukumbu

Friday 12 February 2016

INDIA YAZINDUA BUNDUKI NYEPESI DUNIANI….

Miaka miwili baada ya India kuzindua Nirb heek bunduki inayodaiwa kuwa ya kwanza ya

UTAFITI: WASIOFANYA ZOEZI HUZEEKA HARAKA..!!

Ukosefu wa mazoezi kwa wale walio na umri wa kadri, huzeesha akili na mwili utafiti umesema.

MTOTO ALIYEZALIWA MOYO UKIWA NJE AFARIKI…!!

Mtoto aliyezaliwa katika hospitali ya wilaya ya Meru mkoani Arusha akiwa na tatizo la moyo kuwa

SERIKALI YAAPA KUPAMBANA NA WANAOUZA UNGA…!!

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Charles kitwanga, amesema atapambana wauzaji

Thursday 11 February 2016

AJALI YAUA 11 TANGA, YAJERUHI 29..!


Watu 11 wamefariki dunia leo huku wengine 29 wamejeruhiwa, baada ya Basi la Simba Mtoto

MADUKA YAFUNGIWA KWA KUUZA KADI ZA KLINIKI…!!

Halmashauri ya Tunduma Mkoa wa Songwe, imeyafungia maduka

Wednesday 10 February 2016

ROBOTI INAYOIGA TABIA ZA MENDE YATENGENEZWA.…!

Wanasayansi nchini Marekani wametengeneza roboti inayofanana na mende,

UTAFITI: FARASI HUBAINI HISIA ZA MWANADAMU..!

Farasi huweza kubaini kati ya mtu aliye na furaha na aliye kasirika, kwa kuangalia uso wa mwanadumu utafiti umesema.

Tuesday 9 February 2016

MWINGEREZA AUZA HEWA SAFI UCHINA..!!

Maeneo mengi ya Uchina hasa miji mikubwa, yamekuwa yakitatizwa na uchafuzi wa hewa.

Monday 8 February 2016

MAREKANI INADAIWA ZAIDI YA TRILION 15..!!

Madeni yanayoizunguka serikali ya Marekani yanakaribia dola

MWAKA MPYA WA NYANI WASHEREHEKEWA CHINA..!

Mamilioni ya watu wenye asili ya China duniani kote, wanasheherekea mwaka mpya wa ki China.

Saturday 6 February 2016

TZ YAPAMBANA KUTOKOMEZA UKEKETAJI........

Tarehe Sita Februari ni siku ya kutokomeza aina zote za ukeketaji watoto wa kike na wanawake duniani.

TWITTER YAZIFUNGA AKAUNTI ZA IS

Mtandao wa kijamii wa Twitter, umesema kuwa umesimamisha akaunti

TETEMEKO BAYA LAKUMBA TAIWAN

Tetemeko kubwa la ardhi limekumba Taiwan Kusini, na kuangusha jengo moja la ghorofa 17 ambapo hadi kufikia sasa watu watatu wamethibitishwa kufariki.

Friday 5 February 2016

MGODI WAPOROMOKA AFRIKA KUSINI…

Takriban wachimba mgodi 52 wamekwama ardhini, ndani ya mgodi wa dhahabu mashariki mwa Afrika Kusini kulingana na chombo cha habari cha News24.

Thursday 4 February 2016

HABARI TANO ZA TEKNOLOJIA AMBAZO HAZIFAI KUKUPITA..!

Teknolojia hubadilika mara kwa mara na kila siku kuna mambo mapya yanayovumbuliwa na mitindo pia kubadilika,hapa nimekuwekea habari tano kuhusu teknolojia ambazo hazifai kukupita.

1.Li-fi ina kasi mara 100 zaidi ya Wi-fi
Teknolojia mpya ya kutuma data ijulikanayo kama Li-fi imefanyiwa majaribio.

Wednesday 3 February 2016

MAHAKAMA KUJADILI MAPENZI YA JINSIA MOJA INDIA..!

Mahakama ya India imekubali kusikiliza kesi ya kutaka kubatilisha sheria ya kikoloni, ambayo inaharamisha mapenzi ya jinsia moja.

Tuesday 2 February 2016

SELFIE YAMSABABISHIA KIFO..!!


Kijana mmoja wa miaka 16 amegongwa na treni ya abiria na kufariki nchini India, wakati akijipiga selfie mbele ya treni.

TAI KUTEKA NDEGE ZISIZOKUWA NA RUBANI UHOLANZI..!!

Maafisa wa polisi nchini Uholanzi, wameanza kuwafunza tai kuteka ndege zisizokuwa na rubani zikiwa angani.

UGANDA YAZINDUA BASI LINALOTUMIA UMEME WA JUA..!

Basi linalotumia umeme wa nguvu za jua ambalo watengezaji wake toka Uganda wanadai kuwa la kwanza barani Afrika, limeendeshwa hadharani.