Mtandao wa kijamii wa Twitter, umesema
kuwa umesimamisha akaunti
zaidi ya 120,000 kwa uchochezi tangu katikati mwa
mwaka uliopita.
Kampuni
hiyo inasema akaunti nyingi zilikuwa na uhusiano mkubwa ma kundi la kigaidi la
Islamic State.
Twitter
walisema kuwa kutokana na hatua hiyo mawasiliano ya kigaidi imeanza kutoweka
kwenye mtandao wao.
0 comments:
Post a Comment