Home »
» BREAKING NEWZZZZZ..!!! MAWAZIRI KUTUMBULIWA MAJIPU..!!
February 26, 2016
Rais wa jamuhuri ya muungano
wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli,ameagiza mawaziri wasiorejesha hati za
tamko la mali na ahadi ya uadilifu, kufanya hivyo kabla ya saa 12 jioni leo february 26..
Unajua wasipofanya hivyo ni
nini kitatokea,bonyeza play hapo chini umsikie waziri mkuu Kassimu Majaliwa alipokuwa akitoa
agizo hilo la Rais.
Related Posts:
Radi yaua watu watatu wa familia moja Rufiji
Watu watatu wa
familia moja wakazi wa Kijiji cha Mchukwi wilayani Rufiji Mkoa wa
Pwani,
wamekufa baada ya kupigwa na radi jikoni wakati mvua zikinyesha jana jioni.
Inadaiwa kuwa radi hiyo ilianza kupiga mti uliokuwa pemb… Read More
BARIDI KALI YAUA WATU 50….
Watu
zaidi ya 50 wamefariki nchini Taiwan, kutokana na wimbi la baridi kali ambalo
limeathiri maeneo ya Asia Mashariki.
Watalii zaidi ya elfu 60 pia
wamekwama Korea Kusini, kutokana na karidi hiyo.
Vyombo vya habari nc… Read More
MGOGORO WA KIBINAADAM MISRI..
Shirika
la kimataifa la kutetea haki za bimaadamu Amnesty International, linasema nchi
ya Misri
inasumbuliwa na suala la mgogoro wa haki za kibinadamu kwa kiwango
kikubwa,na haya ni matokeo ya miaka mitano baada ya maand… Read More
Walimu marufuku kupaka wanja.!
Serikali wilayani Geita
Mkoa wa Geita, imepiga marufuku walimu kuvaa mavazi yasiyolingana na
taaluma
yao, na upakaji wanja na rangi ya mdomo kupita kiasi wanapokuwa kazini.
Ofisa Utumishi wa
Wilaya ya Geita Thabitha Bu… Read More
Teknolojia ambazo ni gumzo 2016…
Hexo+
Hiki ni kitu kipya katika nyanja za anga na upigaji picha kufuatia kutangazwa kifaa kinachoitwa Hexo+
Hii ni ndege ndogo isiyo na rubani maarufu kama ‘drone’ iliyofungwa kamera maalumu.
Kinachotokea ni kwamba wew… Read More
0 comments:
Post a Comment