Wednesday 17 February 2016

HIKI NDICHO ALICHOKIZUNGUMZA BABA YAKE JOHN WOKA........

John Woka ni miongoni mwa Wasanii wa longtime Tanzania ambapo umaarufu wa jina lake uliongezeka kutokana na ubunifu wake wa kurap kama Mlevi,alifariki dunia alfajiri ya february 16 katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam, baada ya kupata ajali ya kuchomwa na kitu kichwani alipokuwa akirekebisha mtungi wa AC ya gari katika garage moja jiji Dare es salaam.

Bonyeza play hapo chini kumsikia kile ambacho baba yake mzazi Joh Woka zee Mhina akizungumza juu ya kifo cha mtoto wake.

0 comments:

Post a Comment