This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday, 31 July 2017

UTAFITI: WAMTAJA MWANAUME MAARUFU MWENYE MACHO YA MVUTO ZAIDI DUNIANI

Watafiti wa masuala ya urembo na mwenekano wa sura wametoa matokeo ya utafiti wao kuhusu mwanaume maarufu mwenye macho yenye mvuto zaidi duniani, wakimtaja mwimbaji Harry Styles.

Thursday, 27 July 2017

MWANAFUNZI AKAMATWA KWA KUMKASHIFU RAIS KWENYE FACEBOOK....

Jeshi la polisi nchini Zambia linamshikilia mwanafunzi wa Chuo Kikuu nchini humo, kwa tuhuma za kumkashifu Rais Edgar Lungu na maafisa wengine wa Serikali kwenye Facebook.

POLISI WAKAMATA WANACHAMA WA DHEHEBU HARAMU CHINA...

Polisi nchini China wamewakamata wanachama 18 wa dhehebu lililopigwa marufukua.

MWANAFUNZI MDOGO ALIYEFAULU MTIHANI WA WAKUBWA BENIN…

Peace Delaly Nicoue ndiye mwanafuniz mwenye umri mdogo zaid, aliyefanya mtihani wa mwisho unaofahamika kama Baccalaureate nchini Benin mwaka huu na kupata alama za juu.

Wednesday, 26 July 2017

UZALISHAJI MBEGU ZA KIUME WAPOROMOKA DUNIANI….

Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Hebrew¬Hadassah Braun, cha Jerusalem umebaini kuwa kiwango cha mbegu za kiume kwa wanaume duniani kimepungua kwa zaidi ya asilimia 50.

MWANAMKE ALIYEKUWA AMETEKWA NA BOKO HARAM ARUDI KWA WAPIGANAJI HAO….

Mwanamke ambaye alikuwa ametekwa nyara na wapiganaji wa Boko haram amerudi kwa wapiganaji hao kulingana na famialia yake.

MAGARI YANAYOTUMIA MAFUTA KUONDOLEWA BARABARANI UINGEREZA KUANZIA 2040…..

Magari mapya yanayotumia mafuta ya diseli na petroli nchini Uingezeza yataandolewa barabarani kuanzia mwaka 2040 kama njia ya kukabiliana na uchafuzi wa hewa.

Tuesday, 25 July 2017

WALIOOA WAKE WENGI KUFUNGWA JELA CANADA..

Winston Blackmore afika mahakamani huko Cranbrook
Viongozi wawili wa dini nchini Canada wamepatikana na hatia ya kuoa wake wengi.
Mahakama iliambiwa kuwa Winston Blackmore mwenye umri wa miak 61 alioa wanawake 24, naye mwanamume ambaye alikuwa ni mkwe wake James Oler akaoa wanawake 5.

CHINA KUZINDUA MTANDAO USIODUKULIWA….

Wakati udukuzi wa mitandao wanapoendesha udukuzi zaidi, China inatarajiwa kuzindua mtandao usiodukuliwa ikimaanisha kuwa itakuwa rahis kugundua kabla ya wadukuzi kuingia.

MTOTO ALIYEZALIWA NA VVU AISHI BILA YA VIRUSI KWA MIAKA MINANE….

Wanasayansi Afrika Kusini wamebaini kwamba mtoto aliyeambukizwa virusi vya Ukimwi, ameishi kwa miaka minane na nusu bila viini hivyo.

DAKTARI WA KUONGEZA MAUMBILE AUAWA, BRAZIL

Mwanamke mmoja nchini Brazil ambaye alikuwa akijihusisha na uwekaji wa vifaa vya kukuza maumbile ya kike kinyume cha sheria amekufa katika shambulio lenye viashiria vya ulipizaji kisasi baada ya upasuaji ambao haukuzaa matunda.

NYAMA IKAE SAA NANE KABLA YA KUPIKWA.............

Nyama nyekundu ni kitoweo kitokanacho na wanyama. Mbali na wanyama wa porini, watu wengi hupata nyama hiyo kutokana na kuchinja wanyama wafugawao kama ng’ombe, mbuzi, kondoo na ngamia.

Monday, 24 July 2017

ADAKWA AKIFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI MAABARA..

Mwalimu wa somo la Baiolojia katika shule ya sekondari ya wasichana ya St Therese mjini Lusaka ambaye alidakwa akifanya mapenzi na mwanafunzi katika maabara ya shule hiyo amesimamishwa kazi akisubiri hatua za kinidhamu dhidi yake.

VIDEO: JOH MAKINI FT DAVIDO-KATA LETA

Rapa kutoka kundi la Weusi, Joh Makini amekuja na video yake mpya iitwayo Kata Leta ambayo amemshirikisha Staa kutoka Nigeria, Davido.
Tazama video yenyewe hapa chini.

Thursday, 20 July 2017

ASILIMIA KUBWA YA WANAUME HAWANA NGUVU ZA KIUME….

Utafiti wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) umebaini kuwa asilimia 33 ya wanaume 672 mkoani Dar  es salaam wamebainika kuwa na upungufu wa nguvu za kiume.

MAMAKE ZARI HASSAN AAGA DUNIA…..

Zari Hassan anaomboleza kifo cha mamake miezi miwili tu baada ya kumzika aliyekuwa mumewe Ivan Ssemwanga.

Wednesday, 19 July 2017

WANAOTOA SIRI ZA SERIKALI MTANDAONI KUTUPWA JELA MIAKA 20..

Serikali imetoa onyo kwa watumishi wa umma wanaotoa siri za serikali na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa watachukuliwa hatua za kisheria.

RAILA: AWAOMBA WAFUASI WAKE KUTOSHIRIKI NGONO MKESHA WA UCHAGUZI…

Mgombea wa urais katika muungano wa NASA nchini Kenya Raila Odinga amewataka wafuasi wake kutoshiriki tendo la ndoa mkesha wa siku ya uchaguzi.

MBUNGE ANAYEMKOSOA ZUMA KULINDWA….

Mkosoaji mashuhuri wa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, atapewa ulinzi wa polisi baada ya kupokea vitisho vya kuuliwa.

AJUZA WA MIAKA 86 ASHTAKIWA KWA WIZI….

Ajuza wa miaka 86 anayejulikana sana kwa wizi wa vito tangu miaka ya 50 ameshtakiwa kwa wizi.
Doris Payne alikamatwa katika duka moja katika eneo la Chamblee mjini Georgia kwa wizi wa vito vyenye thamani ya dola 86 kulingana na maafisa wa polisi.

Tuesday, 18 July 2017

TUNDU LISSU ATEMA CHECHE….

Wakati Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, akiwa

KISIWA CHASHINDA SHINDANO LA UKWEAJI MNAZI

Kisiwa cha Cook ndio bingwa duniani wa shindano la ukweaji minazi imeripotiwa.

MWANAMKE ALIYEVALIA SKETI FUPI HADHARANI SAUDIA ACHUNGUZWA…

Mamlaka nchini Saudia inamchunguza mwanamke mmoja aliyechapisha kanda yake ya video akiwa amevalia sketi fupi na tishet ilio wazi hadharani.

Monday, 17 July 2017

WAZIRI ALAUMIWA KWA KUTUMIA DOLA 770,000 KWA MAUA NA ZAWADI……

Lindiwe Sisulu
Chama kiku cha upinzani nchini Afrika Kusini cha Democratic Alliance (DA) kimetaka kuelezwa na waziri wa nyumba Lindiwe Sisulu, jinsi idara yake ilitumia dola 770,000 kwa maua na zawadi zingine wakati wa kipindi cha bajeti cha mwaka 2013/2014.

MAMIA WAOGELEA WAKIWA UTUPU FINLAND KUVUNJA REKODI…

Mamia ya waogeleaji waliokuwa utupu walijumuika kwa pamoja kuogelea katika mto wenye maji baridi katika jaribio la kuvunja rekodi nchini Finland.

TELEGRAM KUFUNGA AKAUNTI ZA MAKUNDI YA UGAIDI INDONESIA…

Mtandao wa kutuma ujumbe kwa njia ya simu wa Telegram, umeahidi kuwa utafunga akaunti zinazohusiana na ugaidi, baada ya serikali ya Indonesia kufunga huduma za mtandao huo nchini humo.

MUUGUZI AMDUNGA BINTI SINDANO NA KUMBAKA……

Muuguzi anayefanya kazi Kituo cha Afya Kata ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Damian Mgaya (26) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumbaka binti wa miaka 18 mkazi wa kitongoji cha Mwagala B, Kijiji cha Mwagala.

WAUMINI WAWILI WAFA MAJI WAKIBATIZWA..

Waumini wawili wa Kanisa Siloam wamekufa maji wakibatizwa katika Mto Ungwasi wilayani Rombo baada ya mmoja wao kupandisha mapepo na kuwatumbukiza majini wenzake.

Wednesday, 12 July 2017

MZEE MWENYE WATOTO 100 ANASEMA ANA NIA YA KUONGEZA ZAIDI….

Wakati ulimwengu ulipoadhimisha siku ya idadia ya watu duniani mwanamume mmoja alikuwa na sababu 100 za kusherehekea.

ROONEY AITEKA DAR………

 
Mshambuliaji mpya wa Everton Wayne Rooney, amekuwa kivutio wakati msafara wa timu hiyo ulipowasili jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

UTAFITI WABAINI UPUNGUFU HUDUMA AFYA YA UZAZI..

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Aga Khan Eunice Pallangyo, amefanya utafiti na kubaini kwamba vituo vya afya havitoi huduma ya uangalizi kwa kinamama baada ya kujifungua hali inayosababisha vifo vya

UTAFITI WABAINI RUSHWA KUPUNGUA KWA KASI NCHINI……

Jitihada za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli za kupambana na rushwa, zimewafanya wananchi kuamini kuwa hivi sasa vitendo hivyo vinapungua kulinganisha na miaka

PAPA FRANCIS ATOA UTARATIBU MPYA WA KUWATANGAZA WATAKATIFU….

Baba mtakatifu papa Francis, ameongeza vigezo na utaratibu wa kuwatangaza watakatifu katika kanisa katoliki, katika kile kinachoonekana kama mabadiliko makubwa kufanywa katika kanisa hilo baada ya karne nyingi zilizopita.

Tuesday, 11 July 2017

MENDE ANAYECHORA APATA UMAARUFU MITANDAONI..

Mende huyu anayepatikana nchini Japan na mwalimu wake ni aina ya mende wanaopatikana barani Asia, wanaotajwa kuwa kwenye hatari ya kuangamia

NDEGE YA MAREKANI YAANGUKA NA KUUA 16..

Watu 16 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya ndege ya jeshi la Marekani waliyokuwa wakisafiri nayo kuanguka kusini mwa jimbo la Mississippi, Jumatatu jioni.

TCAA YAPIGA MARUFUKU KUNUNUA, KURUSHA ‘DRONES’ BILA KIBALI MAALUM….

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imepiga marufuku urushwaji angani wa vifaa vya kieletroniki visivyo na rubani (drones) bila kupata kibali maalum.

KISIWA CHA WANAUME PEKEE JAPAN CHATAMBULIWA NA UNESCO

Kisiwa cha Okinoshima nchini Japan ambapo wanawake hawaruhusiwi kufika, kimetambuliwa kama Turathi ya Ulimwengu na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa, Unesco.

SIMBA 4 WATOROKA MBUGA YA TAIFA..

Walinzi wa mbuga nchini Afrika Kusini wanawattafuta simba wanne waliotoroka kutoka mbuga ya kitaifa.

Monday, 10 July 2017

NGELEJA ARUDISHA MGAWO WA ESCROW…

Waziri wa zamani wa Nishati na Madini na Mbunge wa Sengerema CCM William Ngeleja, ametangaza kurejesha pesa za Escrow.

MSD YABADILI VIFUNGASHIO VYA DAWA…

Bohari ya Dawa (MSD) imetangaza kubadilisha vifungashio vya dawa kutoka kwenye vifungashio vya

KUNYWENI KAHAWA INA FAIDA LUKUKI……..

Dhana potofu kuwa unywaji kahawa unaleta shinikizo la damu, umesababisha kinywaji hicho kutumika kwa asilimia 10 tu nchini.

MARUFUKU YA LAPTOP YAONDOLEWA MASHIRIKA 2 YA NDEGE…

Mashirika mawili ya ndege ya Kuwait Airways na Royal Jordanian, yameruhusiwa kuruhusu abiria wake kubebea laptop ndani ya ndege zinazoelekea Marekani.

Friday, 7 July 2017

MWANAMKE AIKOJOLEA BENDERA YA MAREKANI...

Mwanamke aliyesambaza kanda yake ya video akiikojolea bendera ya Marekani ametoa wito kwa watu kutoilenga familia yake akisema hawaungi mkono tendo lake.

BETRI KUBWA ZAIDI DUNIANI KUUNDWA..

Betri kubwa zaidi ya lithium duniani itaundwa na kuwekwa nchini Australia, kupitia makubaliano kati ya kampuni inayounda magari ya kutumia umeme ya Tesla na kampuni ya kawi ya Australia Neoen.

UTAFITI WHO: MTINDO HUU WA KUFANYA MAPENZI UNAWAPOTEZA MAMILIONI DUNIANI…..

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa ripoti mpya kuhusu hali ya afya ya uzazi likieleza kuwa ngono kwa njia ya mdomo imeendelea kuwa tishio kubwa kwa usambazaji wa magonjwa ya zinaa na kupelekea hata kutotibika.

NEW GASPAL HIT FROM ANGEL BENARD-SITEKETEI (VIDEO)

SITEKETEI "Ni wimbo wa MAFUNZO ya ahadi za Mungu katika maisha yetu, na uhakika wa usalama wetu ndani Yake, licha ya changamoto za kila siku.
Isaya 43: 2
Unapitia kati ya maji, nitakuwa pamoja nawe,
Na unapovuka mito,
Hawatakufikia,
Unapotembea kupitia moto,
Huwezi kuteketezwa,
Moto hauwezi kukuweka.
Je,unaweza kuimarishwa na kukumbuka juu ya jinsi MUNGU atakavyoweza kuifanya ikiwa unashikilia.
TIZAMA VIDEO YA SITEKETEI HAPA CHINI.

MELI YA CHINA INAYOBEBA NDEGE ZA KIJESHI IMEWASILI HONG KONG…..

Meli ya kwanza ya Uchina ya kubeba ndege za kivita Liaoning imewasili mjini Hong Kong.
Ziara hiyo ya kwanza nje ya China bara ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 20 tangu Uingereza ilipoikabidhi Hong Kong kwa China.

OMMY DIMPOZ-CHECHE (OFFICIAL AUDIO)

Kutoka PKP Kijana Ommy Dimpoz ametulea jiwe jipya linakwenda kwa jina la CHCHE,unaweza kulisikiliza kwa kubonyeza play a au kudownload hapa chini.

KISONONO CHAPATA USUGU DHIDI YA DAWA ZAKE...

Shirika la afya Duniani, WHO, limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo.

Thursday, 6 July 2017

BAVICHA WATOA NENO KWA WATEULE WA JPM…

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limetoa wito kwa wateule wa JPM wakuu wa mikoa wakiwemo wakuu wa Wilaya kupatiwa semina elekezi ili wajifunze mifumo na utendaji wa utumishi wa umma kwa madai kuwa wengi wao hutumia vibaya madaraka waliyopewa.