Friday, 7 July 2017

KISONONO CHAPATA USUGU DHIDI YA DAWA ZAKE...

Shirika la afya Duniani, WHO, limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mataifa 77 tofauti Duniani, WHO imebaini kuwa maambukizi wa ugonjwa huo nchini Japan, Ufaransa na Uhispania, hayatibiki kabisa.
Lakini hata hivyo, shirika hilo linasema wengi wanaoambukizwa ugonjwa huo wako katika nchi masikini, ambazo zinavifaa duni kudhibiti ugonjwa huo.
Shirika hilo la Afya duniani linasema kufanya mapenzi bila ya kuingiliana na watu wachache wanaotumia kondomu kunasaidia kuenea kwa ugonjwa huo wa Kisonono.

Related Posts:

  • EWURA YAPANDISHA BEI YA MAFUTA... Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imepandisha bei za mafuta ya aina zote kuanzia leo isipokuwa Mkoa wa Tanga pekee. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu Felix Ngalamgosi,  jijini Dar es salaam … Read More
  • BUNGE LAPITISHA MSWADA WA SHERIA YA MSAADA WA KISHERIA 2016… Bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA limepitisha muswada wa sheria ya msaada wa kisheria. Bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA limepitisha muswada wa sheria ya  msaada wa kisheria wa mwaka 2016. Akiwasilis… Read More
  • AHUKUMIWA KIFUNGO KWA KULALA NA MPENZI WA MWANAE… Mwanamke mmoja ambaye ametambulika kwa jina la Alaine Goodman (46) amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kufanya mapenzi na kijana mwenye umri mdogo ambaye ni mpenzi wa mtoto wake. G… Read More
  • MPANGO ATAJA KINACHOKWAMISHA UKUAJI WA UCHUMI….. Serikali imesema matokeo ya ukuaji wa pato la taifa kwa mwaka 2016 yalitarajiwa kuwa 7.2% lakini kwa uchambuzi uliofanywa na serikali kwa kushirikiana na shirika la fedha duniani IMF unaonesha kuwa ukuaji wa uchumi uliote… Read More
  • MVUA YALETA MAAFA WILAYANI MPWAPWA… Watu wanne wakiwamo watatu wa familia moja ambao ni wakazi wa Kijiji cha Isighu kitongoji cha Majumba Sita wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wamekufa maji baada ya makazi yao kusombwa na mvua iliyo nyesha usiku wa kuamkia Ja… Read More

0 comments:

Post a Comment