Wednesday, 27 April 2016

HII NDIO NOTI YENYE MWONEKANO MZURI DUNIANI…!!

Mkutano wa Mwaka wa ‘International Bank Note Society’s ‘IBNS’, umetambua
ubunifu wa kutengeneza noti za fedha zenye muonekano mzuri na usalama zaidi.

Katika mkutano wao wa mwaka IBNS wameitangaza noti ya Dollar 5 ya New Zealand kuwa noti nzuri ya Mwaka 2016.

Ushindi huo umetangazwa kwenye mashindano ya kimataifa, ambapo noti ishirini kutoka duniani kote zilikuwa zimeteuliwa kuwania tuzo hiyo na mshindi alichaguliwa na wanachama wa IBNS.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment