Wednesday, 6 April 2016

NIMEKUWEKEA HAPA SHOW YA ANTENNA YA TAR 4 APRIL 2016.


Show inakwenda hewani siku tano za wiki kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka saa kumi na mbili na nusu jioni kupitia radio 5,be connected twende sawa wewe ni bnge la msikilizajiI.

Related Posts:

  • UTAFITI WABAINI UPUNGUFU HUDUMA AFYA YA UZAZI.. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Aga Khan Eunice Pallangyo, amefanya utafiti na kubaini kwamba vituo vya afya havitoi huduma ya uangalizi kwa kinamama baada ya kujifungua hali inayosababisha vifo vya uzazi kuongezeka. Ripoti … Read More
  • ROONEY AITEKA DAR………   Mshambuliaji mpya wa Everton Wayne Rooney, amekuwa kivutio wakati msafara wa timu hiyo ulipowasili jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Everton iliyowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa (JNIA) ilipokelewa na Wa… Read More
  • WAUMINI WAWILI WAFA MAJI WAKIBATIZWA.. Waumini wawili wa Kanisa Siloam wamekufa maji wakibatizwa katika Mto Ungwasi wilayani Rombo baada ya mmoja wao kupandisha mapepo na kuwatumbukiza majini wenzake. Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro Agnes Hokororo… Read More
  • MZEE MWENYE WATOTO 100 ANASEMA ANA NIA YA KUONGEZA ZAIDI…. Wakati ulimwengu ulipoadhimisha siku ya idadia ya watu duniani mwanamume mmoja alikuwa na sababu 100 za kusherehekea. Kofi Asilenu mwenye umri wa miaka 80 ni baba wa watoto 100 na wake 12. Anaishi na familia yake katik… Read More
  • UTAFITI WABAINI RUSHWA KUPUNGUA KWA KASI NCHINI…… Jitihada za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli za kupambana na rushwa, zimewafanya wananchi kuamini kuwa hivi sasa vitendo hivyo vinapungua kulinganisha na miaka iliyopita. Hayo yamebainika kutokana n… Read More

0 comments:

Post a Comment