Saturday, 23 April 2016

WABAKAJI WA WATOTO KUHASIWA…!!

Sheria mpya imeidhinishwa nchini Kazakhstan, inayoruhusu utumiaji wa kemikali kuhasi ili
kuwaadhibu watu waliopatikana na hatia ya kufanya ngono na watoto.
Hatua hiyo ni mojwapo ya sheria mpya kulinda haki za watoto.
Afisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa Kazakhstani imesema kuwa visa vya watu wanaopenda kufanya ngono na watoto vimeongezeka kwa asilimia 50 mwaka uliopita.

Lakini wataalam wanasema kuwa kuhasi hakuna madhara makubwa, hakudumu hulazimika kurejelewa na ni ghal.

Related Posts:

  • Lowassa mgombea urais CHADEMA…… Aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa amechukua Fomu rasmi ya kugombea urais kupitia tiketi ya Chadema. Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu amesema baada ya kuchukua fomu hizo Lowassa atakuwa tayari kuzunguka… Read More
  • Yupo msichana wa miaka 15 tu anasoma PhD … Kwa hesabu ya kawaida tu mtoto anaanza Shule ya msingi akiwa na miaka sita au saba hivi,alafu mpaka kumaliza anakuwa na kama miaka 14, sasa kuna msicha  kwenye umri huo alikuwa kamaliza high school na alikuwa Chuo tay… Read More
  • Yengoma-Wimbo mpya wa Rais Museven wa Uganda....!!!! Rais wa Uganda Yoweri Museven Hiii sio mara ya kwanza kioongozi huyo wa taifa uganda kutoa wimbo,kwani itakumbukwa wimbo wake wa You need another Rap,ulikuwa maarufu sana katika mitanda mbali mbali duniani. Kwa sasa ameac… Read More
  • Mwanawe Whitney afariki…………… Bobbi Kristina Brown mtoto wa marehemu Whitney Houston ambaye alikuwa gwiji wa muziki waR&B,amefariki dunia baada ya kupoteza fahamu kwa muda wa miezi sita tangu alipokutwa taabanikwenye bafu lake na pindi alipofikishw… Read More
  • Usikose nakala yako ya Gazeti la TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu.!!                                        … Read More

0 comments:

Post a Comment