Friday 29 April 2016

SARAFU ZA KIRUMI ZAPATIKANA UHISPANIA..!!

Katika hali ya kushangaza wafanyikazi wa ujenzi kusini mwa Uhispania, wamegundua akiba kubwa
ya sarafu za kale za Kirumi nchini humo.
Wafanyakazi hao wamegundua sarafu hizo,wakati wakifanya ukarabati kwenye mabomba ya maji.

Maelfu ya sarafu hizo za shaba zilizo na uzani wa kilo mia 6, zilipatikana zikiwa zimefichwa kwenye makopo, katika mji wa Tomares karibu na Seville.

0 comments:

Post a Comment