Monday 25 April 2016

MVULANA WA MIAKA 16 ASHTAKIWA UGAIDI AUSTRALIA..!

Polisi nchini Australia wamemshtaki mvulana mwenye umri wa miaka 16, ambaye anasemekana
alikuwa akipanga kutekeleza shambulio katika siku kuu ya wanajeshi wastaafu wa nchi hiyo.


Mvulana huyo alitiwa mbaroni nyumbani kwake huko Sydney, alipodaiwa kupanga kutekeleza uhalifu huo wa kigaidi leo Jumatatu wakati wa sherehe za siku kuu ya ANZAC, ya maadhimisho hayo ya kuwakumbuka wanajeshi waliouawa vitani Australia.

0 comments:

Post a Comment