Friday 15 May 2015

Mkwaju mpya wa J.Cold Huu hapa..!!

Kijana toka ukanda wa kaskazi mkoa wa Kilimanjaro,anafahamika kama January lakini katika sanaa ya muziki anafahamika kwa jina la J.Cold.


Baada ya kufanya vyema na recodr zake kama,mdogo mdogo,Never let you go, na nyingine leo amedondosha ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la Money on ma mind,akiwa amemshirikisha producer wa wimbo huo kingxcilla.

Unaweza kuusikiliza wimbo huo hapa chini kwa kubonyeza Play,pia unaweza kuupakua na kuendelea kusauport mziki mzuri.


0 comments:

Post a Comment