Friday, 15 May 2015

LOVE CUT NA SEMIO SONYO RADIO 5 Tar 14-5-2015

Kama uliimiss show ya LOVE CUT siku ya Alhamis usiku,nimekuwekea hapa ilikuwa ni Full Lovers Doze,ngoma nzuri za kimapenzi lakini pia Love Class ilihusika.


Majibu ya kuhusiana na Vigezo 10 vya kumpata mke au mume Anaefaa,bonyeza play hapa chini kuisikiliza show hiyo.



Related Posts:

  • SELFIE YAMSABABISHIA KIFO..!! Kijana mmoja wa miaka 16 amegongwa na treni ya abiria na kufariki nchini India, wakati akijipiga selfie mbele ya treni. Story ni kwamba alisimama kwenye reli akisubiri treni ifike karibu zaidi ili apige selfie. Ripo… Read More
  • MGODI WAPOROMOKA AFRIKA KUSINI… Takriban wachimba mgodi 52 wamekwama ardhini, ndani ya mgodi wa dhahabu mashariki mwa Afrika Kusini kulingana na chombo cha habari cha News24. Kisa hicho kilitokea mwendo wa saa mbili asubuhi,kulingana na daktari mmoj… Read More
  • HABARI TANO ZA TEKNOLOJIA AMBAZO HAZIFAI KUKUPITA..! Teknolojia hubadilika mara kwa mara na kila siku kuna mambo mapya yanayovumbuliwa na mitindo pia kubadilika,hapa nimekuwekea habari tano kuhusu teknolojia ambazo hazifai kukupita. 1.Li-fi ina kasi mara 100 zaidi ya Wi-fi… Read More
  • MAHAKAMA KUJADILI MAPENZI YA JINSIA MOJA INDIA..! Mahakama ya India imekubali kusikiliza kesi ya kutaka kubatilisha sheria ya kikoloni, ambayo inaharamisha mapenzi ya jinsia moja. Swala hilo sasa limewasilishwa mbele ya mahakama ya majaji watano,hatua ambayo inaoneka… Read More
  • TETEMEKO BAYA LAKUMBA TAIWAN Tetemeko kubwa la ardhi limekumba Taiwan Kusini, na kuangusha jengo moja la ghorofa 17 ambapo hadi kufikia sasa watu watatu wamethibitishwa kufariki. Tetemeko hilo la kipimo cha Ritcher 6.4 lilitokea karibu na mji wa… Read More

0 comments:

Post a Comment