UNAFAHAMU UMRI SAHIHI WA KUANZA KUFANYA MAPENZI NCHINI MWAKO..?
Ufaransa inatarajia
kuweka sheria maalum ya umri wa kuanza kufanya mapenzi kuwa ni miaka 15.
Hivyo kufuatia
mapendekezo hayo mtu yeyote atakayebainika kufanya mapenzi chini ya umri huo
atakuwa amebaka.
Maamuzi
haya yame…Read More
MUGABE: SIKUTEGEMEA KUONDOLEWA MADARAKANI NA MNANGAGWA
Aliyekua Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, amevunja
ukimya kwa mara ya kwanza tangu aondolewe Madarakani,kwa kusema kuwa amekua
muhanga wa mapinduzi ya kijeshi.Akiongea na televisheni ya SABC ya Afrika kusini,
Mug…Read More
NKURUNZINZA ATANGAZWA KUWA KIONGOZI WA MAISHA…..
Chama tawala nchini Burundi CNDD/FDD kimemtangaza
Rais Pierre Nkurunzinza, kama kiongozi mkuu wa kudumu au kiongozi wa milele
ndani ya chama hicho.
Uamzi huo umefikiwa baada ya vikao vya siku tatu vya
mkutano mkuu wa ch…Read More
KAMANDA WA POLISI AKANUSHA KUPATIKANA KWA MASHEIKH ZANZIBAR..
Jeshi
la Polisi Zanzibar limesema halina taarifa za kuonekana kwa mashekhe watatu wa
Jumuiya ya Maimamu Zanzibar, ambao waliripotiwa kutoonekana tangu Januari 9,
mwaka huu.
Hayo
yamesemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa w…Read More
MAMA AJINYONGA BAADA YA KUUA WANAWE WANE……
Mwanamke
mmoja katika kijiji cha Nyahera Kaunti ya Kisumu nchini Kenya, amewaua watoto
watatu wa mke mwenzie, na kisha mwenyewe kujinyonga.
Tukio
hilo limeelezwa kwamba mwanamke huyo anayejulikana kwa jina la Jaci…Read More
0 comments:
Post a Comment