![]() |
Linusi Kilembu Mtangazaji wa kipindi cha Mikasa ya Maisha Radio 5. |
Kipindi hiki kinaruka Radio 5 kila siku ya Juma pili kuanzia saa nne kamili usiku kikiongozwa na Linus Kilembu.
Hapa chini nimekuwekea moja ya mkasa wa kijana George Michae ulioruka katika kipindi hicho akiwa na matatizo mbali mbali na kama utaguswa kumsaidia waweza kutumia namba 0769 02 31 58 ili kumpatia msaada wako,kutoa ni moyo na sio utajiri.
Bonyeza Play kusikiliza mkasa huo hapa chini.
0 comments:
Post a Comment