![]() |
Imebainika kwamba watu wenye majina
yafuatayo si waaminifu kwenye maswala ya mapenzi na kila wanapokuwa kwenye
mahusiano,basi mara moja moja hupenda kuchepuka.
Kwa upande wa wanawake wenye tabia
hizo ni wale wenye majina ya Megan, Jesca, Ammy, Olivya na Rebeca.
Kwa upande wa wanaume wenye tabia
hizo ni wale wenye majina ya Nathan, Christopher, Charles, Antonn na Erick.
Majina ya watu hao yametokana na
utafiti ulioendeshwa na tovuti ya Didan.com kuhusu tabiza za michepuko na
kuwahoji watu elfu 4, waliokwenye mahusiano ya mapenzi na wanandoa.
Katika majibu ya watu hao
yaliyotolewa kwa siri kubwa, asilimia 80 ya wanawake wenye majina niliyokutajia
hasa Megana na Jesca walionyesha kupenda michepuko.
Na asilimia 84 ya wanaume wenye
majina hayo hasa Nathan na Christopher nao walionekana kupenda
sana michepuko.
Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti
ulifanywa na tovuti ya Didan.com, kuhusu
tabia za michepuko kwa kuwahoji watu elfu 4, walioko kwenye mahusiano ya
mapenzi na wanandoa.
0 comments:
Post a Comment