Mtoto mchanga wa kiume wa siku tatu katika mtaa wa Masanga Wilaya ya Igunga,
ameokotwa akiwa amekatwa viungo vyake na watu wasiojulikana.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Masanga Julius Kitundu, amesema mtoto
huyo aliokotwa na wasamaria wema pembezoni mwa barabara ya lami.
Mwenyekiti huyo ametoa wito kwa wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria
mkononi na kuwaomba watoe ushirikiano kwa jeshi la Polisi katika kuwasaka
wahusika.
Baadhi ya wananchi wamelaani kitendo hicho cha kinyama,na kusema wataanzisha
msako mkali ili kuhakikisha waliohusika wanakamatwa na mama aliyejifungua
anashikiliwa.
MRADI MKUBWA WA DHAHABU SENGEREMA KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI-MAVUNDE
-
☑️ Serikali yasaini mkataba wa nyongeza ya hisa kutoka asilimia 16 hadi 20
na Kampuni ya Nyanzaga
☑️ Mwekezaji arejesha Leseni Serikalini, Waziri Mav...
9 hours ago
0 comments:
Post a Comment