Vijana kutoka kanda ya kaskazini wakifanya mziki mzuri,sasa baada ya kuisikia record yao inayokwenda kwa jina la More Baby, leo wametuletea zawadi ya ngoma nyingine nzuri kuisikia masikioni na kuicheza pia inakwenda kwa jina la Pengie.
Unaweza kuisikiliza kwa kubofya play hapa chini ama kuipakua pia.
Riadha : RT Kuwabana Waandaaji wa Mbio
-
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT) limepanga kuweka sheria mpya
itakayowalazimisha wandaaji wa mashindano kuhakikisha wanajumuisha pia mbio
za watoto k...
0 comments:
Post a Comment