Monday 25 May 2015

Baada ya kutoka kifunguni Lowassa Afunguka!!!!



Wiki iliyomalizika story kubwa kwenye siasa za Tanzania ilikuwa kuhusiana na CCM kuwafungulia makada wake sita
ambao walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema kinyume na utaratibu wa chama hicho, mmoja ya waliokuwa wamefungiwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.
Jana kulikuwa na stori ya Naibu Waziri Mwigulu Nchemba kutangaza kugombea Urais wa TZ kupitia CCM.
Sasa leo Mbunge Edward Lowassa ameongea kuhusu mambo kadhaa ikiwemo hali ya afya yake, chuki ndani ya chama, na ujumbe wake kwa CCM kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 TZ.

0 comments:

Post a Comment