Tuesday 19 May 2015

KAMA ULIMISS KUSIKILIZA ANTENNA SHOW JANA J3 NIMEKUWEKEA HAPA!!!



Kipindi hiki kinaruka katika siku Tano za wiki juma tatu mpaka Ijuma kuanzia saa kumi jioni mpaka saa kumi na mbili na nusu,kikiwa na habari,matukio,mahojiano,utabiri wa hali ya hewa,michezo na muziki mzuri.
Vyote hivyo vinafikishwa kwenye spika yako na Team Antenna Kiwa Strong,Wende Mpembwa na Dj Ibra.
Bonyeza hapa chini kuisikiliza show ya jana Juma tatu tar 17-5-2015.




0 comments:

Post a Comment