This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday 15 May 2017

WAFUNGWA 17 WAUAWA WAKIJARIBU KUTOROKA JELA…

Wafungwa 17 wameuawa kwa kupigwa risasi na askari gereza walipokuwa katika harakati za kutoroka jela huko Papua New Guinea, nchi ndogo iliyoko kusini magharibi mwa bahari ya Pacific.

ANASWA KWA KUMUUZA MTOTO WAKE MCHANGA..

Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Onyinyechi Osoneye, amejikuta mikononi mwa vyombo vya dola mwishoni mwa wiki iliyopita kwa tuhuma za kumuuza mtoto wake siku moja baada ya kujifungua salama.

HANS POPPE ATENGUA MAAMUZI YAKE,ASEMA SASA SIMBA NI MBELE KWA MBELE….

Baada ya kutangaza kuachia ngazi kwa kile kilichosemekana kutokushirikishwa katika maamuzi ya kuingia udhamini kati ya Simba na Kampuni ya Sportspesa,

TCRA YATOA ONYO KUHUSU VIRUSI MTANDAONI…

Kufuatia tishio la kuwapo programu mtumishi (software) yenye virusi aina ya WannaCry, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kwa watumiaji wa kompyuta kutofungua viambatanishi wasivyovijua kwenye barua pepe zao.

Thursday 11 May 2017

DAWA ZA KUPUNGUZA MAKALI YA HIV…

Watafiti nchini Uingereza wanasema dawa za kupunguza makali ya virusi katika Ulaya na Amerika ya Kaskazini zimeboreshwa kiasi kwamba watu mwenye Virusi vya UKIMWI wanaweza kuishi kwa karibia sawa tu na watu wengine wasio na virusi.

UKUTA WAWAUA WAGENI 22 HARUSINI INDIA….

Takriban watu 22 wamefariki baada ya ukuta kuwaangukia wakati wa harusi kaskazini mwa India.

DALILI HIZI ZINAKUONYESHA KUWA HUNYWI MAJI YA KUTOSHA…

Maji ni muhimu sana katika mwili wa binadamu, yanahitajika kwa zaidi ya asilimia 60 katika mwili.
Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonesha kuwa idadi ya watu kunywa maji duniani imeongezeka kutoka asilimia 76 mwaka 1990 mpaka kufikia asilimia 91 kwa mwaka 2015.

MAFURIKO YASABABISHA SHULE ZOTE KUFUNGWA ZANZIBAR…

Shule zote katika kisiwa cha Zanzibar zimefungwa kwa muda kutokana na mvua kali ambayo imesababisha mafuriko.

Tuesday 9 May 2017

KIWANDA CHATENGENEZA BIA KWA KUTUMIA MKOJO DENMARK....

Kiwanda kimoja cha pombe nchini Denmark kimetengeneza bia mpya kwa kutumia shayiri ambayo imekuzwa kwa kutumia lita 50,000 za mkojo.

BENKI YA FBME YAFUNGWA KWA MADAI YA UTAKATISHAJI WA FEDHA HARAMU……

Benki kuu ya Tanzania inasema kuwa imeipokonya leseni ya kuhudumu benki ya FBME ya Tanzania baada ya kushutumiwa na serikali ya Marekani kwa utakatishaji wa fedha haramu, kulingana na chombo cha habari cha Reuters.

SIMBA WATANO WATOROKA MBUGA AFRIKA KUSINI.....

Polisi wakishirikiana na maafisa wa wanyamapori nchini Afrika Kusini wanawawinda simba watatu ambao wametoroka kutoka kwenye mbuga ya taifa ya Kruger.

MAREKANI YASITISHA MSAADA KWA SEKTA YA AFYA KENYA…..

Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) ambao hutumiwa na Marekani kutoa misaada kwa nchi za nje, limesitisha ufadhili wake kwa miradi ya afya nchini Kenya.

Friday 5 May 2017

HILI HAPA GOMA JINGINE LA DARASSA CMG

Hit maker wa nyimbo iliyokua anthem ‘Muziki’ Darassa aka ‘CMG’, ameachia  wimbo mpya uitwao Hasara Roho.Unaweza kuusikiliza kwa kubonyeza play hapo chini.

Monday 1 May 2017

ZIFAHAMU FAIDA ZA KITUNGUU SWAUMU MWILINI MWAKO...

Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaaluma, huitwa allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa viungo katika mboga na tiba.

UKOSEFU WA AJIRA UMETAJWA KUSABABISHA VIFO…….

Utafiti uliofanywa na madaktari bingwa wa moyo kutoka European Society of Cardiology, umetaja ukosefu wa ajira kuwa chanzo cha vifo kwa zaidi ya asilimia 50 ya wanaume hasa wanaougua maradhi ya moyo.