This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Wednesday 26 August 2015


Usikose nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu.
                                                            Tabibu michezo wiki hii.!!

Friday 21 August 2015

Marufuku kupeana mikono Dar…

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik, amewataka wakazi wa jijini hilo kuchukua hadhari za kiafya ikiwamo kuacha kusalimiana kwa kushikana mikono kutokana na mlipuko wa kipindupindu ambao mpaka sasa umeshawapata watu 56, kati yao watatu wamefariki dunia.

Thursday 20 August 2015

Kufanya kazi kwa saa nyingi ni hatari……

Utafiti uliofanywa kwa zaidi ya watu laki tano, umeeleza kuwa watu wanaofanya kazi kwa saa nyingi, wako hatarini kupata kiharusi.

Juma Kaseja ajiunga na Mbeya City……

Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu bila timu, golikipa mkongwe na mahiri Juma Kaseja August 19 amesaini mkataba wa miezi sita wa kuitumikia klabu yaMbeya City kutoka Jijini Mbeya.

Wednesday 19 August 2015

Pombe kidogo pia yaweza kuleta saratani………..

Unywaji kidogo wa pombe hadi chupa moja kwa siku kwa wanawake na chupa mbili kwa wanaume, unaweza kusababisha hatari ya kupata saratani kulingana na watafiti.

Usikose kusoma gazeti la TABIBU kesho alhamisi likiwa limesheheni habari mbalimbali kuhusu afya. Ni kwa bei ya sh. 500/= !!
                                                             TABIBU michezo wiki hii!!

'Viagra' ya wanawake yazinduliwa Marekani……….

Shirika la Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) limeidhinisha matumizi ya dawa ya kwanza kabisa iliyoundwa mahususi kuwatibu wanawake ambao hawana hamu ya kufanya mapenzi maarufu ''viagra ya wanawake''

Tuesday 18 August 2015

Pistorious kuachiliwa Ijumaa

Mwanariadha mshindi wa nishani ya dhahabu ya Olimpiki katika raidha Oscar Pistorius ataachiliwa kutoka gerezani ijumaa wiki hii.

Mtambo wa simu bandia za iphone wavamiwa………….

Kampuni iliyodaiwa kutengeneza simu bandia elfu 41 aina ya Iphones kutoka kampuni ya Apple, imevamiwa huko Uchina na watu 9 kukamatwa.

Peremende zenye bangi zauzwa Kenya

Wizara ya afya nchini kenya imetoa orodha ya peremende, keki na biskuti, bidhaa ambazo inadai zimewekwa bangi.

Wafanyakazi sekta ya umeme Madagascar wagoma…….

Wafanyakazi wa shirika la umeme nchini Madagascar wamegoma kazi kulalamikia hali mbaya ya kimaisha.

Monday 17 August 2015

Shughuli za kutafuta ndege zasitishwa………

Utawala nchini Indonesia unasema kuwa hali mbaya ya hewa imewalazimu kusitisha oparesheni za kuwatafuta manusura wa ajali ya ndege ambayo ilianguka siku ya Jumapili katika milima iliyo mashariki mwa Papua.

Kitabu cha kuchuja maji chagunduliwa…

Kitabu chenye kurasa ambazo zinaweza kuraruliwa na kisha kutumiwa kuchuja maji ya kunywa, kimepata mafanikio katika majaribio yake ya kwanza.

Friday 14 August 2015

Miaka 130 jela kumuambukiza mtoto Ukimwi……….


Mahakama moja nchini Kenya imemhukumu mwanaume mmoja kifungo cha miaka 130 jela, kwa kumbaka na kumuambukiza mtoto mwenye umri wa miaka 9 ukimwi.

Kenya kuharibu boti iliyopatikana na Heroini………

Serikali ya Kenya inatarajiwa kuharibu boti moja iliyopatikana imebeba takriban kilo 7 za mihadarati aina ya Heroini.

Fidel Castro aandika barua ya wazi Cuba…

Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro ametimiza umri wa miaka 89 kwa kuandika barua ya wazi kwa taifa lake.

Chachu ya kutuliza maumivu yapatikana……

Wanasayansi nchini Marekani wamesema kuwa, wamefanikiwa kutengeneza chachu yenye vina saba vinavyoweza kupunguza maumivu kwa kiasi kikubwa.

Mtoto apata mtoto Paraguay…!!!!

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo, amejifungua mtoto wa kike baada ya mamlaka nchini humo kumzuia asitoe ujauzito aliokua nao.

Thursday 13 August 2015


Sasa unaweza kununua gazeti lako pedwa la afya Tanzania kwa sh. 300/= tu kwenye app ya mPaper inayopatikana kwenye google play store.



Tuesday 11 August 2015

Joto kali layeyusha gari Italy…………..

Siku za hivi karibuni baadhi ya maeneo Stori za joto kuongezeka,zimekuwa zikichukua nafasi kubwa sana, nikukumbushe tu kwamba ilianza kule Dubai ambapo  joto lilipanda mpaka kufikia nyuzi 38, tukasikia Uingereza nako nyuzi joto nako zilipanda hadi kufikia 40 lakini kule india na kwenyewe joto lilipamda hadi kufikia nyuzi 45.

Google yajiimarisha kupitia Alphabet...

Katika hatua yake ya kujiimarisha zaidi Google itaendelea kusimamia biashara zake kama vile programu,You Tube na Android.

Friday 7 August 2015

Michuano ya dunia Mpira wa pete kuanza….

Michuano ya kumi na nne ya Kombe la dunia la mchezo wa pete itaanza kutimua vumbi leo katika jiji la Sydney nchini Australia.

Thursday 6 August 2015

Utamaduni wa kurejesha mahari marufuku Uganda……

Ngombe hutumiwa sana kulipa mahari Uganda
Mahakama ya juu zaidi nchini Uganda imesema kuwa utamaduni wa kurejesha mahari baadaya talaka katika ndoa za kitamaduni unakiuka katiba na utamaduni huo unapaswa kupigwa marufuku.

Japan yakumbuka shambulio la Hiroshima…

Raia wa Japan leo wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 70 tangu shambulio la kwanza la bomu la Atomiki kutekelezwa mjini Hiroshima.

Wednesday 5 August 2015

Je unataka kuishi maisha marefu duniani…..?

Utafiti mmoja uliofanywa nchini China,umebaini kuwa ukila chakula kilichotiwa viungo kila siku unajiongezea maisha marefu.



Usikose nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho Alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu.


Lowassa na Juma Duni, wagombea urais wa UKAWA……

 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),kimemtangaza aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchini hiyo Edward Lowassa kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika tarehe 25 Oktoba mwaka huu.

Mayweather kupanda ulingoni septemba……….

Bondia Floyd Maywether atapanda tena ulingoni mwezi Septemba 12 mwaka huu kuzipiga na Andre Berto.
Floyd atajaribu kuifikia rekodi ya bondia Rocky Marciano,ya kupigana mapambano 49 pasipo kupoteza.
Berto ameshinda mapambano 30 huku akipoteza mapambano matatu.
Bondia mwingereza Amir Khan alikua na matumaini ya kuzipiga na Mayweather, baada ya kumpiga Chris Algieri mwezi Juni.

Mayweather alieleza baada ya pambano lake na Manny Pacquiao, kuwa atacheza pambano moja tu la mwisho kabla ya kustaafu mchezo wa masubwi.

Takriban watu 20 wapoteza maisha India…………

Treni zilipotea njia na kutumbukia mtoni
Treni mbili zimekosea njia huko nchini India na kutumbukia katika mto nchini humo.Treni hizo za abiria zilitumbukia katika mto uliokuwa umefurika, kufuatia mvua kubwa katika Jimbo la Madhya Pradesh.

Boti la abiria lazama ziwa Victoria Kenya……

Boti moja iliyokuwa imebeba abiria 23, imegongana na mtumbwi wa wavuvi na kuzama katika ziwa Victoria Magharibi mwa Kenya.

Ripoti ya TFDA kuhusu vipodozi vilivyoteketezwa 2014/15…

Mmlaka ya chakula na Dawa TFDA, imeatoa ripoti ya mwaka wa fedha kuhusu bidhaa mbalimbali zilizokamatwa na kuteketezwa kwa mujibu wa sheria na hatua zilizochukuliwa.

Monday 3 August 2015

Yupo msichana wa miaka 15 tu anasoma PhD …

Kwa hesabu ya kawaida tu mtoto anaanza Shule ya msingi akiwa na miaka sita au saba hivi,alafu mpaka kumaliza anakuwa na kama miaka 14, sasa kuna msicha  kwenye umri huo alikuwa kamaliza high school na alikuwa Chuo tayari anamaliza zake degree!!