Friday 14 August 2015

Kenya kuharibu boti iliyopatikana na Heroini………

Serikali ya Kenya inatarajiwa kuharibu boti moja iliyopatikana imebeba takriban kilo 7 za mihadarati aina ya Heroini.

Boti hiyo inayoitwa 'Baby Iris' ilikamatwa na polisi kwa tuhuma za ulanguzi wa mihadarati.
Ripoti ya polisi inasema kuwa 'Baby Iris' inamilikiwa na kigogo mmoja raia wa Uingereza.
Boti hiyo iliyokamatwa katika bahari ya Kenya huko Mombasa, itaharibiwa kuambatana na sheria za Kenya.
Jeshi la wanamaji la Kenya ndilo lililokabidhiwa jukumu hilo la kuiharibu boti hiyo.

Mpaka napokuwa story hii ni kwamba,Boti hiyo ilikuwa tayari imeshategwa mambomu tayari kuharibiwa.

0 comments:

Post a Comment