Wednesday, 5 August 2015

Mayweather kupanda ulingoni septemba……….

Bondia Floyd Maywether atapanda tena ulingoni mwezi Septemba 12 mwaka huu kuzipiga na Andre Berto.
Floyd atajaribu kuifikia rekodi ya bondia Rocky Marciano,ya kupigana mapambano 49 pasipo kupoteza.
Berto ameshinda mapambano 30 huku akipoteza mapambano matatu.
Bondia mwingereza Amir Khan alikua na matumaini ya kuzipiga na Mayweather, baada ya kumpiga Chris Algieri mwezi Juni.

Mayweather alieleza baada ya pambano lake na Manny Pacquiao, kuwa atacheza pambano moja tu la mwisho kabla ya kustaafu mchezo wa masubwi.

Related Posts:

  • Nkurunziza ahairisha uchaguzi…!! Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
  • Obama ajiunga na Twitter..!! Rais wa Marekani Barack Obama amejiunga na mtandao wa twitter, ikulu ya White House imethibitisha Rais wa Marekani Barack Obama amejiunga na mtandao wa twitter, ikulu ya White House imethibitisha. Akitumia anuani @POTUS … Read More
  • Je wewe ni mnunuzi wa bidhaa za urembo. ? Tahadhari. Kinyesi cha panya na mkojo wa binadamu ni baadhi ya viungo vinavyotumika kutengeza bidhaa ghushi za urembo. Utafiti wa bidhaa za urembo zinazouzwa kwa njia ya mtandao nchini Uingereza umebaini kuwa bidhaa hiz… Read More
  • ANTENNA SHOW YA J4 MAY 19 2015 RADIO 5.. Sikiliza kipindi chako bomba cha Antenna kila juma tatu mpaka ijumaa kuanzia saa kumi jion mpaka kumi na mbili na nusu jioni,kwa habari,mijadala,michezo buradini n.k. Ungana na Team Antenna Kiwa strong,wnde mpembwa na Dj I… Read More
  • Baada ya kutoka kifunguni Lowassa Afunguka!!!! Wiki iliyomalizika story kubwa kwenye siasa za Tanzania ilikuwa kuhusiana na CCM kuwafungulia makada wake sita ambao walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema kinyume na utaratibu wa chama h… Read More

0 comments:

Post a Comment