Friday, 7 August 2015

Michuano ya dunia Mpira wa pete kuanza….

Michuano ya kumi na nne ya Kombe la dunia la mchezo wa pete itaanza kutimua vumbi leo katika jiji la Sydney nchini Australia.

Jumla ya michezo sitini na minne itacheza katika siku kumi za michuano hiyo ambapo timu kumi na sita zitachuana kuwania ubingwa wa dunia.
Viwanja viwili vya Allphones na City Olympic Park ndio vitatumika katika michuano hii.
Katika kundi A kuna wenyeji Australia, New Zealand , Barbados,Trinidad & Tobago.
Kundi B lina timu za England,Jamaica,Scotland na Samoa.
Kundi C Afrika Kusini,Malawi,Sri Lanka, Singapore.

Kundi D kuna timu za Fiji, Wales , Zambia, Uganda.

Related Posts:

  • Pistorious kuachiliwa Ijumaa Mwanariadha mshindi wa nishani ya dhahabu ya Olimpiki katika raidha Oscar Pistorius ataachiliwa kutoka gerezani ijumaa wiki hii.Mwanariadha huyo raia wa Afrika Kusini alihukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani mwaka ulio… Read More
  • Usikose kusoma gazeti la TABIBU kesho alhamisi likiwa limesheheni habari mbalimbali kuhusu afya. Ni kwa bei ya sh. 500/= !!                             … Read More
  • Mtambo wa simu bandia za iphone wavamiwa…………. Kampuni iliyodaiwa kutengeneza simu bandia elfu 41 aina ya Iphones kutoka kampuni ya Apple, imevamiwa huko Uchina na watu 9 kukamatwa. Oparesheni hiyo ilishirikisha mamia ya wafanyikazi waliokuwa wakiandaa vipuri vya sim… Read More
  • Pombe kidogo pia yaweza kuleta saratani……….. Unywaji kidogo wa pombe hadi chupa moja kwa siku kwa wanawake na chupa mbili kwa wanaume, unaweza kusababisha hatari ya kupata saratani kulingana na watafiti. Makala moja ya Uingereza ilichambua utafiti mkubwa kutoka nch… Read More
  • 'Viagra' ya wanawake yazinduliwa Marekani………. Shirika la Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) limeidhinisha matumizi ya dawa ya kwanza kabisa iliyoundwa mahususi kuwatibu wanawake ambao hawana hamu ya kufanya mapenzi maarufu ''viagra ya wanawake'' Dawa hiyo inavi… Read More

0 comments:

Post a Comment