Mkwaju mpya wa J.Cold Huu hapa..!!
Kijana toka ukanda wa kaskazi mkoa wa Kilimanjaro,anafahamika kama January lakini katika sanaa ya muziki anafahamika kwa jina la J.Cold.
Baada ya kufanya vyema na recodr zake kama,mdogo mdogo,Never let you go, na nyingine…Read More
SIKILIZA SHOW YA ANTENNA RADIO 5 YA TAR 13-5-2015
Show inakuwa hewani kila juma tatu mpaka ijumaa kuanzia saa kumi jioni mpaka kumi na mbili na nusu jioni,ndani ina vitu kibao habari mchanganyiko,matukio,burudani n.k
Nimekuwekea hapa chini show ya jana juma tano twene sawa…Read More
SIKILIZA MKASA WA KIJANA GEORGE..!
Linusi Kilembu Mtangazaji wa kipindi cha Mikasa ya Maisha Radio 5.
Kipindi cha Mikasa ya Maisha ni moja ya vipindi vya kijamii vilivyo bora kabisa katika kuisaidia jamii hususani kwa watu wanaokutwa na matatizo mbali mbali…Read More
0 comments:
Post a Comment