Wednesday, 5 August 2015

Takriban watu 20 wapoteza maisha India…………

Treni zilipotea njia na kutumbukia mtoni
Treni mbili zimekosea njia huko nchini India na kutumbukia katika mto nchini humo.Treni hizo za abiria zilitumbukia katika mto uliokuwa umefurika, kufuatia mvua kubwa katika Jimbo la Madhya Pradesh.
Shirika la habari la Associated Press, limemnunukuu mmoja wa waokoaji akisema kuwa wamehesabu maiti 20.
Zaidi ya abiria 250 wameokolewa, baada ya mabehewa sita kutumbukia mtoni
Wakuu wa shirika la Reli la India wanasema kuwa,ajali hiyo ilitokea usiku wa manane kuamkia jumatano.

Anil Saksena ni msemaji Shirika la Reli la India, amesema Treni moja ilitoka katika njia yake huku nyingine ikifuatia nyuma yake katika njia ya kupishana, Treni zilipoteza mwelekeo kutokana na mafuriko.

Related Posts:

  • Mbwa aliyeuawa kupewa nishani ya ushujaa...!! Mbwa wa polisi aliyeuawa wakati wa msako baada ya mashambulio ya Paris, atatunukiwa nishani kuu ya ushujaa. Diesel mbwa aina ya Belgian Shepherd mwenye umri wa miaka saba, alifariki wakati wa operesheni ya kumsaka mshukiw… Read More
  • Usikose kusoma nakala ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi.                                               &… Read More
  • Mlinzi wa Osama bin Laden afariki dunia… Taarifa kutoka Yemen zinasema aliyekuwa mlinzi wa Osama Bin Laden, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Vyanzo vya habari vya kitabibu vimeiambia BBC kwamba Nasser al Bahri,ambaye pia alikuwa akijulikana kama A… Read More
  • Gereza kuvunjwa ili madini yachimbwe….! Gereza la Songwe mkoani Mbeya linatarajiwa kuvunjwa na kujengwa sehemu nyingine kupisha uchimbaji wa madini adimu duniani ya niobium. Ni baada ya madini hayo kugundulika kuwapo kwenye eneo la gereza hilo,endapo utaanzi… Read More
  • NASA: El Nino hii ni mbaya kama ya 1998.. Hali ya hewa ya El Nino ambayo imekuwa ndiyo kali zaidi katika historia itazidisha hatari ya njaa na maradhi kwa mamilioni ya watu duniani 2016, mashirika ya misaada yamesema. Hali hii ya hewa inatarajiwa kusababisha uka… Read More

0 comments:

Post a Comment