ATUMIA VIDONGE VYA NGUVU ZA KIUME KUZOA KURA…!!
Katika mataifa mengi ya Afrika wakati wa uchaguzi, wanasiasa hutoa pesa
ili kuwashawishi wapigaji kura kuwachagua.
Lakini amini usiamini huko
Korea Kusini, polisi wameanzisha uchunguzi baada ya kuibuka madai kuwa wapiga…Read More
HAKIMU ‘FEKI’ ATIWA MBARONI…
Mkazi wa kijiji cha Kanyama Kata ya
Bujora Wilaya ya Magu mkoani Mwanza Erick Mkundi (23), ametiwa mbaroni kwa
tuhuma za kufanya kazi kama Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kongoro akiwa hana sifa hiyo.
Mtuhumiwa
huyo a…Read More
WANASAYANSI WAGUNDUA DAWA INAYOREFUSHA MAISHA….
Dawa inayotumika kwa matibabu ya kawaida, huenda ikategua kitendawili cha
kurefusha maisha na kuzuia uzee.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti
mpya, ambao ulibainisha kwamba viwango vya chini vya dawa aina ya Lithium
vilisaidi…Read More
SERIKALI YAZIDI KUSISITIZA KUFUNGA SIMU BANDIA….
Serikali imesisitiza
kuwa azma yake ya kuzifunga simu za bandia ifikapo Juni 16 mwaka huu iko
palepale, huku ikiwataka wananchi waache kuzitumia ili kuepuka madhara kwa afya
zao.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasili…Read More
0 comments:
Post a Comment