Wednesday, 2 September 2015

Marekani na Viwanda bandia vya dawa…

Mamlaka nchini Marekani zimefanikiwa kuwakamata zaidi ya watu 90 na wamegundua na kuzifunga maabara 16 zilizokuwa chini
ya ardhi kwa lengo la kutengeza dawa za binadamu kinyume cha sheria.
Mkuu wa kitengo cha madawa amesema kuwa kilo na maelfu ya ujazo wa kemikali yaliharibiwa katika miji majimbo 20 kufuatia msako wa miezi mitano.
Maofisa uchunguzi wa Marekani wanasema kuwa malighafi za kutengenezea dawa hizo inaingizwa nchini humo kutoka China.

Hata hivyo msako umeweza kubainisha na kushambulia magenge ya watengenezaji hao wa dawa mbandia chini ya ardhi.

Related Posts:

  • Hollande achunguzwa na NSA…..? Mtandao wa Wikileaks umechapisha nyaraka zinazoonyesha kuwa chombo cha upelelezi cha Marekani NSA kimemchunguza rais wa Ufaransa, Francois Hollande, na marais wawili waliokuwa kabla yake. Pata taarifa zaidi kwa kubonyza p… Read More
  • Zaidi ya watu mil 1 wanatumia dawa za kulevya China..! China ni nchi ambayo adhabu zake kwa wahusika wa dawa za kulevya hazina salia mtume kabisa yaani ukishikwa basi adhabu ya kifo inachukuwa hatamu. China wana sheria kali sana dhidi ya wahusika wa dawa za kulevya, ila st… Read More
  • Kupambana na utipwatipwa ni wajibu wa jamii:WHO.. Shirika la Afya Duniani WHO jana limezindua ripoti yake ya muda kuhusu kusitisha utipwatipwa wa watoto, ikisema idadi ya watoto wanaokumbwa na unene huo wa kupindukia imeongezeka kwa asilimia 47 tangu mwaka 1980, hasa … Read More
  • Mwalimu mkuu ashiriki ngono na wanafunzi……!! Mwalimu mmoja mkuu, amekiri kufanya ngono na wavulana wawili wenye umri mdogo. Anne Lakey mwenye umri wa miaka 55 kutoka eneo la Stanley katika kaunti ya Durham, amekanusha makosa 13 dhidi yake ya kufanya matendo ya aibu … Read More
  • Wanaovalia suruali za kubana waonywa… Suruali ndefu aina ya jinsi zinazobana, zinaweza kusababisha madhara makubwa kwa mishipa na misuli, madaktari wameonya. Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 35,alilazimika kutolewa ndani ya suruali ndefu aina ya Jeans b… Read More

0 comments:

Post a Comment