OMMY DIMPOZ-CHECHE (OFFICIAL AUDIO)
Kutoka PKP Kijana Ommy Dimpoz ametulea jiwe jipya linakwenda kwa jina la CHCHE,unaweza kulisikiliza kwa kubonyeza play a au kudownload hapa chini.
…Read More
TCRA YAZITAHADHARISHA KAMPUNI ZA SIMU….
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezitaka kampuni za
simu za mikononi nchini, kusitisha matangazo wakati wateja wanapiga simu
vinginevyo wataadhibiwa.
Akizungumza jijini hapa leo Alhamisi Mkurugenzi Mkuu wa TCRA
M…Read More
MELI YA CHINA INAYOBEBA NDEGE ZA KIJESHI IMEWASILI HONG KONG…..
Meli ya kwanza ya Uchina ya kubeba ndege za kivita Liaoning imewasili mjini Hong Kong.
Ziara hiyo ya kwanza nje ya China bara ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 20 tangu Uingereza ilipoikabidhi Hong Kong kwa China.
I…Read More
BAVICHA WATOA NENO KWA WATEULE WA JPM…
Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limetoa wito kwa wateule wa JPM wakuu wa mikoa wakiwemo wakuu wa Wilaya kupatiwa semina elekezi ili wajifunze mifumo na utendaji wa utumishi wa umma kwa madai kuwa wengi wao hutumia v…Read More
KISONONO CHAPATA USUGU DHIDI YA DAWA ZAKE...
Shirika la afya Duniani, WHO, limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mataifa 77 tofauti Duniani, WHO im…Read More
0 comments:
Post a Comment