Monday, 21 September 2015

'Game of Thrones' yashinda tuzo za Emmy

Tuzo za Emmy
Tamasha kubwa la kila mwaka Emmys Awards, la kutoa tuzo kwa vipindi vya televisheni limefanyika mjini Los Angeles Marekani.

Kipindi cha Game of Thrones, kimenyakua matuzo mengi zaidi ikiwemo makala bora zaidi.
Viola Davis

Viola Davis naye ametajwa kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kupata ushindi wa muigizaji bora zaidi katika kipindi cha "How To Get Away With Murder".

Jon Hamm ambaye ameteuliwa mara saba kwa tuzo la muigizaji bora zaidi hatimaye amechukua tuzo hilo kwa uigizaji wake katika kpindi Mad Men.

Related Posts:

  • WHO: EBOLA SIO TISHIO TENA KWA DUNIA… Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa, maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ebola Afrika Magharibi sio tena kitisho cha dunia. Mkurugenzi wa shirika hilo Margaret Chan ametangaza kumalizika kwa kipindi cha dharura cha mie… Read More
  • SERIKALI KUNUNUA NDEGE MBILI, MELI…. Serikali imepanga kununua ndege mbili mpya na meli moja kwa ajili ya Ziwa Victoria katika siku chache zijazo, imefahamika. Mpango wa kununua ndege ulitangazwa jana na Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa alipozung… Read More
  • AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUTISHIA KUMUUA RAIS MAGUFULI…. Kondakta Hamimu Seif (42) mkazi wa Mwananyamala Ujiji jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shitaka kumtishia kumuua kwa maneno Rais Dk. John Magufuli kwa kujitoa mhanga. Wakil… Read More
  • KOREA KASKAZINI YARUSHA KOMBORA JINGINE BAHARINI… Wanajeshi wa Korea Kusini wanasema kuwa, Korea Kaskazini imefyatua kombora la masafa marefu katika eneo la pwani ya mashariki ndani ya bahari, wakati ambapo rais Barrack Obama anaongoza kikao cha dunia kuhusu usalama wa … Read More
  • DARAJA LAPOROMOKA NA KUWAUA 10 INDIA… Takriban watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa, baada ya daraja moja la juu lililokuwa likijengwa kuporomoka, kwenye mji wa mashariki mwa India wa Kolkata Ripoti zingine zinasema kuwa karibu watu 150 huenda wa… Read More

0 comments:

Post a Comment