Tuesday, 29 September 2015

Kondomu yenye umbo la ch**p Uganda….

Kuna aina mpya kondomu ya wanawake ambayo inapigiwa upatu na shirika moja nchini Uganda.
Kondomu hii inaumbo la suruali ya ndani ya wanawake.

Inaweza kuvaliwa siku nzima na wanawake sawa na chupi aina ya ''g-string''
Kondomu hiyo ya kisasa maarufu kama ''panty condom'' itasaidia wanawake haswa wanaposhiriki tendo la ndoa pasi na kutarajia ima ni ghafla ama ubakaji.
Haswa shirika linayoinadi kondomu hii ya kipekee inasema kuwa inanuiwa kuzuia usambazaji wa magonjwa mbalimbali kwa ngono ikiwemo UKIMWI.
Hata hivyo mamlaka ya madawa nchini Uganda inasema kondomu hiyo bado haijapimwa kuona kama inafikia viwango vya kitaifa.

Mwandishi wetu wa Kampala Siraj Kalyango na maelezo zaidi.

Related Posts:

  • TETEMEKO BAYA LAKUMBA TAIWAN Tetemeko kubwa la ardhi limekumba Taiwan Kusini, na kuangusha jengo moja la ghorofa 17 ambapo hadi kufikia sasa watu watatu wamethibitishwa kufariki. Tetemeko hilo la kipimo cha Ritcher 6.4 lilitokea karibu na mji wa… Read More
  • MGODI WAPOROMOKA AFRIKA KUSINI… Takriban wachimba mgodi 52 wamekwama ardhini, ndani ya mgodi wa dhahabu mashariki mwa Afrika Kusini kulingana na chombo cha habari cha News24. Kisa hicho kilitokea mwendo wa saa mbili asubuhi,kulingana na daktari mmoj… Read More
  • TWITTER YAZIFUNGA AKAUNTI ZA IS Mtandao wa kijamii wa Twitter, umesema kuwa umesimamisha akaunti zaidi ya 120,000 kwa uchochezi tangu katikati mwa mwaka uliopita. Kampuni hiyo inasema akaunti nyingi zilikuwa na uhusiano mkubwa ma kundi la kigaidi la I… Read More
  • HABARI TANO ZA TEKNOLOJIA AMBAZO HAZIFAI KUKUPITA..! Teknolojia hubadilika mara kwa mara na kila siku kuna mambo mapya yanayovumbuliwa na mitindo pia kubadilika,hapa nimekuwekea habari tano kuhusu teknolojia ambazo hazifai kukupita. 1.Li-fi ina kasi mara 100 zaidi ya Wi-fi… Read More
  • TZ YAPAMBANA KUTOKOMEZA UKEKETAJI........ Tarehe Sita Februari ni siku ya kutokomeza aina zote za ukeketaji watoto wa kike na wanawake duniani. Umoja wa Mataifa ulifikia uamuzi huo kwa kuzingatia kuwa kitendo hicho pamoja na kukiuka haki za binadamu, kinakwami… Read More

0 comments:

Post a Comment