September 09, 2015
Usikose nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi kwa bei ya sh. 500/= tu.
Related Posts:
SHEREHE YA KULA NYAMA YA MBWA YAANZA CHINA…!
Sherehe
ya kila mwaka ya kula mbwa imeanza jana kusini mwa taifa la China licha ya
pingamizi kutoka katika taifa hilo na ugenini
Takriban mbwa Elfu 10 na paka kadhaa
wanatarajiwa kuuawa na kuliwa, wakati wa sherehe hiyo… Read More
BABA AJIWEKA TATOO KUFANANA NA MWANAWE ALIYEFANYIWA UPASUAJI…
Baba wa miaka
28 nchini Marekani amenyoa kichwa chake na kuweka mchoro wa tattoo, unaofanana
na kovu la kichwa cha mwanawe aliyefanyiwa upasuaji.
Josh Marshall ambaye anatoka Kansas aliingia katika shindano
la kila mw… Read More
MICHELLE OBAMA AJIUNGA SNAPCHAT…!
Wapenzi wa Snap Chap wamepata mfuasi mpya,kwani Mke wa rais Wa Marekani Michelle Obama sasa amejiunga rasmi na mtandao wa
kijamii wa Snapchat.
Michelle
alitangaza kuwa atajiunga na Snapchat mwezi huu ambapo pia anajianda… Read More
TFDA YAKAMATA TENDE MPAKANI…!
Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), imekamata tani laki
sita za tende mpakani
mwa Kenya na Tanzania, eneo la Hororo zilipokuwa
zikiingizwa nchini kwa ajili ya kuanza kuuzwa.
Mkurugenzi wa TFDA Thomas Nkoro
am… Read More
STAILI YA UKAWA YABAMBA MITANDAONI…!
Picha za watu wa kada mbalimbali nchini wakiigiza ‘staili’ mpya ya
wabunge wa
Ukawa waliojibandika karatasi midomoni zenye ujumbe tofauti kuhusu
haki ya uhuru wa Bunge wanayodai kuminywa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson
z… Read More
0 comments:
Post a Comment