Wednesday, 30 September 2015

Madaktari wapata idhini ya kupandikiza tumbo la Uzazi…

Mtoto wa kwanza kuzaliwa baada ya mamake kupandikizwa tumbo la uzazi
Madaktari nchini Uingereza, wamepata idhini ya kupandikiza tumbo la uzazi la wanawake kwa mara ya kwanza.

Katika majaribio hayo ya kimatibabu, madaktari hao watapandikiza nyumba ya mtoto kwa wanawake kumi katika hatua ya kwanza.
Mwaka jana mtoto mmoja nchini Sweden, alikuwa mtu wa kwanza duniani kuzaliwa kupitia uhamisho wa kizazi kwa mamake.
Kinyume na wenzao wa Sweden kikosi hicho cha madaktari kutoka Uingereza, kitatatumia viungo kutoka kwa wafadhili wa jamaa ya waliofariki.
Madaktari hao wamefanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 20,ili kupata idhini ya majiribio hayo.

Zaidi ya wanawake mia moja tayari wametambuliwa kwa nia ya kufanyiwa majaribio hayo.

Related Posts:

  • KENYATTA ATOA DOLA MIL 10 ZA KILIMO CHA MIRUNGI…. Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kwamba serikali yake itatenga dola za Kimarekani 10 milioni za kusaidia wakulima wa mirungi kwenye bajeti ya mwaka ujao wa kifedha. Wakulima hao wameathirika sana kufuatia hatua y… Read More
  • UTAFITI:MILIONI 2.3 YA NGUVU KAZI NCHINI HAINA AJIRA… Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema kuwa,watanzania milioni 2.3 kati ya watu milioni 22.3 ambao ndio nguvu kazi ya taifa hawana ajira. Kiwango hicho cha ukosefu wa ajira kwa mujibu wa NBS,ni sawa na asilimia 10.3 ya… Read More
  • WABAKAJI WA WATOTO KUHASIWA…!! Sheria mpya imeidhinishwa nchini Kazakhstan, inayoruhusu utumiaji wa kemikali kuhasi ili kuwaadhibu watu waliopatikana na hatia ya kufanya ngono na watoto. Hatua hiyo ni mojwapo ya sheria mpya kulinda haki za watoto. A… Read More
  • MVULANA WA MIAKA 16 ASHTAKIWA UGAIDI AUSTRALIA..! Polisi nchini Australia wamemshtaki mvulana mwenye umri wa miaka 16, ambaye anasemekana alikuwa akipanga kutekeleza shambulio katika siku kuu ya wanajeshi wastaafu wa nchi hiyo. Mvulana huyo alitiwa mbaroni nyum… Read More
  • JENERALI WA JESHI NA MKEWE WAUAWA BURUNDI..!! Afisa mkuu wa jeshi la Burundi ameuawa pamoja na mkewe, baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana mjini Bujumbura. Jenerali Athanase Kararuza na mkewe wameuawa wakiwapeleka watoto wao shuleni, afisa mmoja wa usalam… Read More

0 comments:

Post a Comment