Tuesday, 29 September 2015

Ng’ombe wawekwa ‘reflector’ Zimbabwe…

Wakazi wa wilaya moja nchini Zimbabwe, wamevumbua njia ya kuzuia ajali za barabarani zinazohusisha ng’ombe wanaoranda randa.

Wamekuwa wakiwaweka kamba au vitambaa vinavyoakisi mwanga shingoni au kwenye mikia.
Wakazi hao wa wilaya ya Gutu mkoa wa Masvingo, wanasema hilo litakuwa likiwawezesha waendeshaji magari kuwatambua ng’ombe hao kutoka mbali.
Ng’ombe wengi walitoweka kwenye mashamba baada ya Wazungu wengi kufurushwa, kutoka kwa mashamba yao mwaka 2000 kufuatia agizo la Rais Mugabe.

Wengi wao wamekuwa wakizurura zurura bila wa kuwatunza,mashamba mengi pia yalibaki bila kuwa na uzio.

Related Posts:

  • Filamu mpya ya Stars Wars yavunja rekodi… Filamu mpya ya Star Wars: The Force Awakens imevunja rekodi Uingereza kwa kuuza tikezi nyingi zaidi siku ya kwanza ya kuuzwa kwa tiketi. Tiketi hizo za mapema zilianza kuuzwa Jumanne, huku filamu hiyo ikitarajiwa kuto… Read More
  • Utafiti waonesha hatari ya sigara,China…… Utafiti mpya umeonya kuwa sigara ina uwezo wa kuua kijana mmoja kati ya vijana watatu nchini China. Hali hiyo itatokea kama hapatakuwa na hatua yeyote itakayofanyika itakayowafanya waache tabia hiyo. Utafiti huo uliocha… Read More
  • Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU leo alhamisi liko mitaani kwa bei ya sh. 500/= tu. Utapata kujua undani wa tiba za asili na kisasa kuusu magonjwa mbalimbali. "TABIBU NI DAKTARI WAKO WA NYUMBANI"   … Read More
  • Je wajua siri ya Mamba usingizini….? Wataalamu wa masuala ya wanyama wamegundua kwamba, mamba ana uwezo wa kulala huku jicho lake moja likiwa wazi. Utafiti huo ambao umewaacha wengi wakishangaa, kwani picha nyingi duniani huonyesha kuwa mamba hulala fofofo,… Read More
  • Usikose nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi likiwa limesheheni habari kemkem za afya. Ni kwa bei ya sh. 500/= tu. TABIBU michezo wiki hii.!! … Read More

0 comments:

Post a Comment