HIFADHI KUBWA ZAIDI YA GESI YAGUNDULIWA TANZANIA….!
Tanzania ni
miongoni mwa mataifa chache duniani yaliyojaliwa kuwa na rasilimali na madini
mengi.
Na baada ya kugunduliwa kwa gesi asili huko Mtwara na dhahabu,
sasa watafiti kutoka Uingereza wamegundua hifadhi …Read More
SOKO LA PANYA WA SUA LAONGEZEKA…!
Soko la panya waliogunduliwa na Chuo Kikuu cha Kilimo
cha Sokoine (SUA) wenye uwezo wa kutegua
mabomu na kubaini ugonjwa wa kifua
kikuu, limezidi kuongezeka baada ya nchi nyingi kuwahitaji.
Nchi za Cambodia, Vietnam,…Read More
PADRI APIGA MARUFUKU LIPSTICK KWA MAHARUSI….!
Waumini
wanawake wanaokwenda kufunga ndoa katika Kanisa Katoliki Parokia ya
Hananasif
Kinondoni jijini Dar es Salaam, wamepigwa marufuku kupaka rangi ya
mdomo Lipstick’ wakati wa ibada ya misa takatifu ya ndo…Read More
SIAFU WAUA BWANA HARUSI…!!
Wakazi wa Kijiji cha
Nditu, Kata ya Suma, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya,
wamegoma
kuzika mwili wa marehemu Shabani Yusufu (27), baada
kushambuliwa na kundi la …Read More
RIBA YA BENKI KUU KUENDELEA KUWA ASILIMIA 6
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KAMATI ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania imeamua Riba ya Benki Kuu
(CBR) kuendelea kuwa asilimia 6 mara baada kufan...
0 comments:
Post a Comment