This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, 30 April 2015

Burundi: Wanafunzi watahadharishwa..!!!!

hali ya usalama ni tete nchini Burundi, watu watano wameripotiwa kupoteza maisha
Wanafunzi katika chuo kikuu cha Burundi mjini Bujumbura, wanasema kuwa serikali imewaagiza

Uuzaji holela wa Antibayotiki moja ya sababu za usugu kwa tiba:WHO

Usugu wa dawa aina ya viuavijisumu au antibayotiki kwa magonjwa umesalia kuwa changamoto

Askari wa Ufaransa wanajisi watoto CAR...

Mmoja wa wanajeshi wa Ufaransa
Waendesha mashtaka nchini Ufaransa wanachunguza tuhuma za ngono kwa watoto zinazodaiwa kufanywa na wanajeshi wa nchi hiyo pindi walipokuwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Wednesday, 29 April 2015

Akatazwa shule kwa kuvaa sketi ndefu..!!!!


Sketi ndefu.
Msichana mmoja muislamu amekatazwa kuingia darasani huko shuleni kwao Ufaransa kwa sababu alikuwa amevalia sketi ndefu.

Mawasiliano ya kijamii yakatwa Burundi…!!!

Utawala nchini Burundi umekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii kupitia kwa simu za mkononi, mawasiliano ambayo wamekuwa wakitumia kupanga maandamano ya kumpinga rais Pierre Nkurunziza. Mamia ya waandamanaji wako barabarani kwenye mji mkuu wa Buruni,Bujumbura kwa siku ya nne ya ghasia kutokana na uamuzi wa rais kwa kuwania muhula wa tatu.

Pacquiao atamba kumchakaza Mayweather..!!

Mpambano kati ya Mayweather na pacquiao unasubiriwa kwa hamu duniani kote
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya dunia kushuhudia mpambano wa karne wa mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao,Bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao

Indonesia yajitetea kwa kuwaua wauza Unga 8!!!

Waustralia wawili waliouawa
Indonesia imetetea uamuzi wake wenye utata wa kuamua kuwauwa walanguzi wanane wa dawa za kulevya wakiwemo raia saba wa kigeni, ikisema kuwa hivyo ni vita dhidi ya biashara ya mihadarati.

Utafiti mpya wabaini ‘Panya Road’ bado tishio Tz.

Vikundi vya uhalifu nchini vyenye muundo ‘Panya Road’ vinazidi kuwapa hofu wananchi kutokana na vitendo vyao vya kutishia amani, utafiti wa Taasisi ya kiraia ya Twaweza umebainisha.

Kahawa ya Tanzania hatarini kutoweka...

Utafiti uliofanywa na wataalamu wa mambo ya kilimo unaonyesha kuwa,zao la Kahawa nchini Tanzania huenda likatoweka kabisa kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka……

Shilingi ya Tanzania imeendelea kushuka hadi kufikia anguko la asilimia 20 dhidi ya dola

Indonesia yawanyonga wauza mihadarati..

Indonesia imewaua wauzaji wanane wa mihadarati baada ya kutoa hukumu ya kifo dhidi yao.

Tuesday, 28 April 2015

Je,wewe hupatwa na maumivu ya mgongo?

Sokwe


Watu wenye maumivu ya mgongo wana uwezekano mkubwa wa maumbile ya mgongo wao kuwa sawa na ule wa sokwe.

Kesi ya ndoa za jinsia moja kusikizwa US……

Harusi ya wapenzi wa jinsia moja


Mahakama kuu nchini Marekani hii leo inasikiliza kesi kadha, kuamua ikiwa wapenzi wa jinsia moja wana haki ya kisheria kuweza kufunga ndoa.

Mayweather na Pacquiao wakosolewa!!!

Licha ya donge nono la dola 250 milioni litakalopiganiwa na Floyd Mayweather na Manny Pacquiao

Mahakama Kuu Kenya yabariki chama cha mashoga!!!!Katika hatua ya kushitua Mahakama Kuu nchini Kenya, imesalimu amri mbele ya mashinikizo ya watetezi wa vitendo vichafu vya ulawiti na usagaji,

Hot story kwenye Magazeti April 28 2015


 Mfanyabiashara Farijala Husein amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kukutwa na

Monday, 27 April 2015

Wadukuzi wasoma ujumbe wa Obama…

Gazeti moja nchini Marekani linasema kuwa wadukuzi wa mitandao wa Urusi ambao walifanikiwa

Hot stories kwenye Magazeti Leo April 27 2015


Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,129 katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano, Mwalimu mkuu huko Lindi amekuta jeneza limewekwa mlango wake,

Friday, 24 April 2015

Itizame hapa Ratiba ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya.

Hatimaye wanafunzi wa zamani wa kocha wa Manchester United Louis Van Gaal, katika klabu ya FC Barcelona watapata nafasi ya kuonyeshana umwamba katika kuelekea jijini Berlin Ujerumani

David Petraeus alitoa siri za Jeshi..Jaji wa mahakama ya jimbo la North Carolina nchini Marekani amemhukumu mkurugenzi wa zamani wa shirika la kijasusi la CIA,

Thursday, 23 April 2015

Klabu bigwa ulaya ,Europa kupangwa kesho...

Droo ya kupanga ratiba ya nusu fainali ya klabu bigwa na ile ya Europa ligi itafanyika kesho mchana katika mji wa Nyon huko Uswisi.

Mashambulizi ya Yemen yawapa tuzo marubani!!!!!!

Mwana wa mfalme wa Saudi Arabia,Al-Waleed bin Talal Al-Saud ambaye ni miongoni mwa matajiri nchini humo
Mwana wa mfalme nchini Saudi Arabia ambaye ni miongoni mwa matajiri wakubwa nchini humo, ameshambuliwa katika mitandao ya kijamii baada ya kuwapa magari ya kifahari marubani wa ndege

Hawa ndio Marais Matajiri zaida Africa!!!

Jose Eduardo Dos Santos ndiye Rais anayeongoza kwa utajiri Afrika kutoka Angola, aliingia madarakani mwaka 1979, ana utajiri wa dola bilioni 20.

Biashara ya binaadamu ni tatizo Ulaya…


wahamiaji haramu

Utafiti mpya wa kituo cha Uingereza British Think-Tank, unasema kuwa Biashara ya binaadamu ni tatizo kubwa linalokumba muungano wa ulaya.

Timu 4 zatinga nusu fainali,Ulaya

Timu nne zimetinga hatua ya nusu fainali katika ligi ya mabingwa barani Ulaya iliyokamilika hapo jana, baada ya Real Madrid ya Hispania na Juventus ya Uitaliano kufanikiwa kuingia nusu fainali.

Fahamu tiba ya magonjwa sugu usikubali kupitwa na gazeti la wiki hii la Tabibu ni kwa bei ya sh.500/=Wednesday, 22 April 2015

Je, umewahi kula mishikaki ya chura?

Philip Paul mfanyabiashara wa mishikaki ya chura katika jimbo la Adamawa nchini Nigeria
Kwa wapenzi wa kula nyama choma na hususan mishikaki katika vituo vya mabasi, mnatakiwa kuwa makini na nyama choma hiyo kwani waweza kula mishikaki ya paka, mbwa, nyoka na sasa mishikaki

Hasira zamfanya aipige kompyuta yake risasi..!!!!!!

mwanamme aliyekasirishwa na kompyuta
Mwamamme mmoja kwenye mji wa Colorado nchini Marekani huenda akachukuliwa hatua za

Hii ni rekodi ya mpangaji kukaa muda mrefu kwenye nyumba moja....Hii sio mbali sana, inatokea mtaa wa Old Ngara, Kenya ambako kuna mzee mmoja ambae ameishi kwenye nyumba kwa muda mrefu,zaidi inaweza kuwa rekodi mpya sababu sikuwahi kuisikia kwingine

Adhabu ya Viboko yasababisha kifo cha mwanafunzi...!!!!!!
Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Sekondari ya Matui iliyopo Wilayani Kiteto, Mkoani Manyara Emmanuel Mbigima mwenye miaka 15,amefariki dunia

Uwekezaji dhidi ya Malaria umeokoa maisha Tanzania: 
Kuelekea siku ya Malaria duniani tarehe 25 mwezi huu, Tanzania imesema uwekezaji katika kinga,

Wanajeshi Afrika kusini kuanza Doria.....!!!!!

Mwenyeji akimpiga mgeni
Jeshi nchini Afrika kusini limeanza kuelekea kwenye maeneo ambayo yameathiriwa na wimbi la machafuko dhidi ya wahamiaji kutoka nchi nyingine za Afrika.

Tuesday, 21 April 2015

Uharamia wapungua duniani

Maharamia
Halmashauri ya kimataiafa ya safari za baharini IBM imetoa ripoti yake ya hivi punde kuhusu uharamia.

Mawaziri 16 waapishwa Afghanistan..

Baada ya miezi kadha ya mizozo ya kisiasa, rais wa Afghanistan Ashraf Ghani amewaapisha mawaziri 16 wapya kwenye sherehe zilizofanyika mjini Kabul.

Rais wa zamani Misri ahukumiwa miaka 20 gerezani!!!

Rais wa zamani Mohammed Morsi
Makahama nchini Mirsi imemhukumu aliyekuwa rais wa zamani Mohammed Mosri kifungo cha miaka 20 gerezani kutokana na kuuawa kwa waamdamanaji wakati akiwa madarakani.

Hii ndiyo Tren yenye kasi zaidi Duniani..


Treni ya Japan iendayo kasi imevunja rekodi yake duniani kwa kufikia mwendo wa kilomita 603 kwa saa, sawa na maili 374 kwa saa katika majaribio yake karibu na Mlima Fuji.

Unafahamu kuwa kuna mafua yasiyopona kabisaa.???

Wako watu ambao tatizo la mafua kwao limeshakuwa kama sehemu ya maisha yao yaani wiki haiishi hujamwona ana mafua.

UDSM kimo katika kumi bora ya vyuo vikuu Afrika..!!

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeshika nafasi ya kumi miongoni mwa vyuo vikuu 50 bora na vyenye umaarufu Afrika.

RADIO 5 THE ONLY CHOICE INAKULETEA NDONDO 2015...Woooyooooh!! Wooyoooo Woyooooooooh!!!

Wooooyoooooh!! wooyoooo Wowyoooooooooooooooooooooh!!!!!!,tukutane basi maeneo yale ndio utakuwa mpango mzima watu wetuu wa A.City na majirani mwakaribishwa kushuhudia Ndondo cup 2015 RADIO 5 NIPE TANO.

Habari Gumzo kwenye Magazeti leo April 21 2015Moja wapo ni hii ya inayosema ‘CHADEMA, ACT jino kwa jino’, wanazidi kuchuana kwenye mikutano huku viongozi wake wakishutumiana, iko iliyoandikwa kuhusu wakazi wa Hanang’

Wafugaji hatutahiminiwi: Watu wa asili..!!!

Mwakilishi wa jamii ya asili ya wafugaji iitwayo Samburu kutoka Kenya ambaye pia anawakilisha

ANTENNA SHOW YA RADIO 5 APRIL 20 2015 HII HAPA!!

 Show inakuwa hewani hapa Radio 5 kila juma tatu mpaka ijuma kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka saa kumi na mbili na nusu jioni,unakosaje sasa mkusanyiko wa matukio,habari na mammbo mengi ya siku nzima hapa ndio nyumbani DONT MISS Mondaya to Friday 10 pm to 12:30pm

Kama ulimis kuisikiliza show ya Antenna siku ya juma tatu tar 20-4-2015 unaweza kuisikiliza hapa chini kwa kubonyeza tu play uipate walau kidogo.Monday, 20 April 2015

ANTENNA SHOW YA RADIO 5 YA IJUMAA APRIL 17 HII HAPA!!

Ilikuwa hewani na Kiwa Strong toka kumi kamili za jioni mpaka 12 kamili jioni,issue kibao zilipita kama hukufanikiwa kwenda sawa na mimi basi hapa sikia kidogo
Kiwa Strong (Nusu mtu Nusu Mashine)
Bonyeza hapa chini kusikia show ya Antenna ya Ijumaa ya tar 17-4-2015


Mfalme Zwelithini kutuliza raia Afrika Kusini!!!!


Goodwill Zwelithini, Mflame wa Zulu
 Mfalme wa Jamii wa Wazulu nchini Afrika Kusini, Goodwill Zwelithini, anatarajiwa kutoa wito kwa raia wa nchi hiyo kujiepusha na ghasia, kufuatia kuongezeka kwa mashambulio ya kibaguzi nchini humo.

Nchi zaidi ya 150 zakutana Marekani..!!! Mkutano wa mwanzo wa mwaka wa majira ya machipukowa Bank kuu ya dunia na shirika la kimataifa la fedha duniani IMF,unaowakusanya pamoja mawaziri wa fedha,Magavana wa Bank kuu za kitaifa na wataalamu wa kiuchumi toka zaidi ya mataifa 150 unaendelea nchini Marekani.

WATU 18 WAFARIKI KWA UGONJWA USIOJULIKANA!!!!

Shirika la Afya Duniani WHO, linasema inavyoelekea dawa ya kuua magugu ndiyo chanzo cha vifo vya watu 18 vilivyotokea kusini-magharibi mwa Nigeria, bila ya sababu kujulikana.

Hospitali zaishiwa na madawa Yemen!!!

Hospitali kwenye mji wa bandari wa Yemen, Aden zinaishiwa na bidhaa muhimu za matibabu,

Wenye VVU wanaweza kujifungua watoto salama kabisa!!!!Kumekuwepo na mitizamo tofauti juu ya mama mjamzito mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi kujifungua mtoto asiye na maambukizi.

Ubalozi wajiandaa kuondoa Watanzania Afrika Kusini!! 
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema umeanza utambuzi wa Watanzania waishio katikmaeneo ya hatari nchini humo,kabla ya kuanza hatua za kuwaondoa na kuwarejesha nyumbani.