Friday, 24 April 2015

David Petraeus alitoa siri za Jeshi..



Jaji wa mahakama ya jimbo la North Carolina nchini Marekani amemhukumu mkurugenzi wa zamani wa shirika la kijasusi la CIA,
Jenerali David Petraeus kwa makosa ya kutoa siri za kijeshi kwa mpenzi wake.
Patraeus ametakiwa kulipa fine ya dola za kimarekani lakimoja.
Awali Jenerali huyo alikana kufanya makosa hayo lakini baadae alikiri kutoa taarifa hizo kwa mpenziwe Paula Broadwell ambaye alikuwa na uhusiano nae wa kimapenzi alipokuwa Mkuu wa CIA.
Mwandishi wa BBC jijini Washington amesema kuwa inaaminika kuwa Petraeus ataendelea na kazi yake ya sasa ya Mshauri wa maswala ya usalama Ikulu.
>>>>bbc

Related Posts:

  • Usikose kusoma gazeti la TABIBU kesho alhamisi likiwa limesheheni habari mbalimbali kuhusu afya. Ni kwa bei ya sh. 500/= !!                             … Read More
  • 'Viagra' ya wanawake yazinduliwa Marekani………. Shirika la Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) limeidhinisha matumizi ya dawa ya kwanza kabisa iliyoundwa mahususi kuwatibu wanawake ambao hawana hamu ya kufanya mapenzi maarufu ''viagra ya wanawake'' Dawa hiyo inavi… Read More
  • Pombe kidogo pia yaweza kuleta saratani……….. Unywaji kidogo wa pombe hadi chupa moja kwa siku kwa wanawake na chupa mbili kwa wanaume, unaweza kusababisha hatari ya kupata saratani kulingana na watafiti. Makala moja ya Uingereza ilichambua utafiti mkubwa kutoka nch… Read More
  • Juma Kaseja ajiunga na Mbeya City…… Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu bila timu, golikipa mkongwe na mahiri Juma Kaseja August 19 amesaini mkataba wa miezi sita wa kuitumikia klabu yaMbeya City kutoka Jijini Mbeya. Mkataba wa … Read More
  • Pistorious kuachiliwa Ijumaa Mwanariadha mshindi wa nishani ya dhahabu ya Olimpiki katika raidha Oscar Pistorius ataachiliwa kutoka gerezani ijumaa wiki hii.Mwanariadha huyo raia wa Afrika Kusini alihukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani mwaka ulio… Read More

0 comments:

Post a Comment