Tuesday 28 April 2015

Hot story kwenye Magazeti April 28 2015


 Mfanyabiashara Farijala Husein amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kukutwa na
hatia, Rais Kikwete ameshtushwa na taarifa za kuhusishwa na mikakati ya kummaliza Mwenyekiti wa IPP Reginald Mengi, TFDA imetakiwa kukagua supermarket za mikoani, Tume ya Taifa ya uchaguzi imepokea vifaa vipya vya BVR 1600 kwa ajili ya uchaguzi, TABOA imetangaza kufanya mgomo mwingine nchi nzima.
kuna habari ya watu 3 wamekamatwa mkoani Mbeya wakiwa na kiganja cha mtu mwenye ulemavu wa ngozi, Rais Kikwete amemtunuku nishani ya ushupavu Askari wa JWTZ aliyepambana na majambazi na jukwaa la wahariri TZ limesema ikiwa rais atasani muswada wa kupitisha sheria za takwimu na makosa mtandaoni litakwenda mahakamani kupinga.

0 comments:

Post a Comment