Wednesday 15 April 2015

Kenya yakabiliwa na uhaba wa maeneo ya maziko!!!

Watu wanaoishi Njoro Kaunti ya Nakuru, Kenya wameiomba Serikali ya nchi hiyo kuwasaidia eneo la kufanyia mazishi kutokana na uhaba wa ardhi.

Hiyo inatokana na kwamba maeneo ya makaburi kutotosha watu wamejikuta wakilazimika kuchimba makaburi yenye vina vifupi juu ya makaburi mengine ili waweze kufanya mazishi.
Ukosefu wa ardhi ya kuzikia ni taatizo kubwa linalokumba maeneo mengi nchini humo.
Sikia hapa chini taarifa iliyoripotiwa na kituo cha K24 nchini humo.




0 comments:

Post a Comment